Billionaire Samweli Lema wa Arusha Ndani ya Segerea

Billionaire Samweli Lema wa Arusha Ndani ya Segerea

accused

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,496
Reaction score
2,750
Screenshot_2016-07-26-08-30-22.png

Kwa wale wa Arusha na wengineo mliomo katika construction industry mtakua mnajua vema bwana Lema au maarufu kama elerai.

Huyu ni mmiliki wa kampuni ya Elerai construction na pia Northern engineering. Ni kampuni zinazoanya vizuri sana hapa nchini especially kaskazini mwa tz.

Bwana Lema leo kapandishwa kizimbani kisutu akiunganishwa kwenye kesi ya yule bilionea wa million saba kwa kila dakika.

Kesi hyo haikueza sikilizwa kwa watuhumiwa kucheleweshwa kufika mahakamani na hivyo Lema na wenzie walipelekwa rumande hadi tarehe 26.
 
Nampata huyu fogo, kuna uwezekano akachomoa?
 
Northern air,northern engineering dah!! Acha waisome tu hamna jinsi,wanazunguka navogue kumbe wanaforge mpk refund za TRA!sipati picture km rais angekua mtu km naniiii........km angeweza kufumua madudu km haya!JPM abarikiwe sana
 
Enzi za naniiii hawa walikua miungu watu... Huyu si wakutembelea vogue mkuu, hiyo ni gari ya hadhi ya chini sana kwake
 
Back
Top Bottom