Billboard - The 10 Greatest Rappers of All Time

Billboard - The 10 Greatest Rappers of All Time

Huyu atakua lubuva ,Hivi tupac mpaka Vladmir Putin anamkubali , aisee mmemkosea sana Tupac naimani atawasamehe ,
 
Haaa haaa uchakachuzi katika ubora wake maana kama nabii hayupo sioni kama kuna imani ya kweli.
 
Jecha aje afututilie mbali huu ujinga!! hadi Snoop dog analalamika na kusema walioandaa hii list angewadaka angewapiga teke LA makalio kama pac hayupo
 
Hiv kweli wakumuacha.pac kwel..dah most influential rapper mc....role model wa marapper wote hasa California dah hizi kwel propaganda za east
 
Lassane Parish Crooks na awasamehe bure, hamjui mlitendalo nyie watu.
 
Coolio, 2PAC, Snoopy, Dr Dre, DMX, EVE, QUEEN LATHIFA,
 
Sure hii list imeandaliwa na watu wa east coz kama unaongelea hip hop ya wanaharakati kama Rakim na Nas huwezi kumuacha 2 PAC, Common,naught by nature na malegend kibao halafu ukamchukua Lili Wayne..

Halafu kama sijaelewa kiinglish eti mtu anayeweza kuimiliki mic sidhani kama kuna mtu anamshinda 2 PAC..

This is East side propaganda
ukitaka kujua niya east coast
nas east
rakim east
jigga east
biggie east
hahahhahahhahhhahhahha
 
Back
Top Bottom