habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
CLINTON ATUA NCHINI: Rais Mstaafu wa Marekani Bill Clinton yuko nchini kukagua miradi inayofadhiliwa na Plan International, pia kuzungumza na akina mama Vikoba.
CC. KAGAME
source. mwananchi/vodacom news alert.
...mzee wa kuchukua faida Kagame ameshasikia kuna mafuta zanzibar na huko mtwara na kwenye ziwa malawi,na migodi ya dhahabu huko shy, anataka kuja kuchimba, lazima atuchape tu...
Hivi kati ya hawa viongozi wote mbona sija wahi kuona Rais au kiongozi wa Ufaransa aikija kupiga mahera bongo isipokuwa hawa kina obama, hu jintao, mam tony balire, bush, m .singh, wen jiabao, etc. hakika katika nchi zinzopaswa kuwa na tuzo nyingi za ukarimu duniani ni TZ kwani mnene ajaye atakuja kununua hadi wafuasi wa magamba na kujimilikisha kwa miaka kadhaaa.
kumbe kweli roma hakukosea kwenye wimbo wake wa sema tanzania.Harafu pamoja na ukarimu wetu na ugeni wao hata kunyonyesha watoto wetu hatujui, achia mbali elimu ya bora liende, siasa za hovyo, mpira hatujui, yaani shida tu. ....bin short ugeni wao hautusaidii tutaikomboa Tz yetu na hayo yote sisi wenyewe...
yuko bongo kwa baba riz
acheni ushamba...