Msaada wa Mmarekani huwa una kiambatanishi cha takwa la demokrasia, haki za binadamu na kuheshimu wapinzani.
Sasa kama tatizo la Arusha linahusiana na ubaguzi dhidi ya wapinzani, hawa jamaa ambao wanasaidia mambo mbalimbali nchini kwa mamilioni ya dola, wanaweza kusitisha kila kitu.
Kwa dunia hii ya mitandao ambayo email ya Bill gates iko nje nje, lazima kazinyaka taarifa hizi. Sasa tujiandae kwa maumivu.
kweli kabisa mkuuTatizo kubwa lilipo nchini kwetu ni kwamba politics imewekwa mbele ata katika mambo ya msingi na hili limeonekana wazi katika nyanja mbali nchini mpaka kupelekea tunaonekana vituko mbele ya macho yetu wenyewe.
Msipate tabu jamaa tayari nasikia keshatumbuliwa!
Ipo nyingine imefunguliwa dk 5 zilizopita na hyo yenye baruanaona moderator wameificha ile topic japo barua ipo wazi..