iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,438
- 14,916
- Thread starter
- #21
MCC imefuta.misaada,hawa nao wanaweza kuondoka,eeeehh mwenyezi mungu!!!!Nimeangalia ile clip Lema anapiga makelele hataki kuambiwa kwanini imekuwa hivyo.
Ni bora tungezijua sababu.
Na ninavyojua misaada yoyote hufuata utaratibu. Lema atueleze sababu ambazo zimesababisha hicho kituko nasi tujadili.