Bill and Melinda Gates wakijua kiini cha tatizo la Arusha wanaweza kufuta misaada yote Tanzania

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
13,456
Points
2,000

iparamasa

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
13,456 2,000
Msaada wa Mmarekani huwa una kiambatanishi cha takwa la demokrasia, haki za binadamu na kuheshimu wapinzani.

Sasa kama tatizo la Arusha linahusiana na ubaguzi dhidi ya wapinzani, hawa jamaa ambao wanasaidia mambo mbalimbali nchini kwa mamilioni ya dola, wanaweza kusitisha kila kitu.

Kwa dunia hii ya mitandao ambayo email ya Bill gates iko nje nje, lazima kazinyaka taarifa hizi. Sasa tujiandae kwa maumivu.
 
iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
13,456
Points
2,000

iparamasa

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
13,456 2,000
N.B: hawa ndio wafadhili.wa mradi huo,wanaheshimika sana duniani,wanaingia ikulu ya marekani,uingereza,canada kama wanavyoingia ofisini kwao.

mikakati na mipango yao lazima.inafuatiliwa kwa karibu na mashirika ya kijasusi ya marekani,kwa Tanzania,lazima ubalozi wa marekani utakuwa unalifuatilia kwa karibu sana
 
HEKIMA KWANZA

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Messages
2,886
Points
2,000

HEKIMA KWANZA

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2015
2,886 2,000
Msaada wa Mmarekani huwa una kiambatanishi cha takwa la demokrasia, haki za binadamu na kuheshimu wapinzani.

Sasa kama tatizo la Arusha linahusiana na ubaguzi dhidi ya wapinzani, hawa jamaa ambao wanasaidia mambo mbalimbali nchini kwa mamilioni ya dola, wanaweza kusitisha kila kitu.

Kwa dunia hii ya mitandao ambayo email ya Bill gates iko nje nje, lazima kazinyaka taarifa hizi. Sasa tujiandae kwa maumivu.
Tatizo la Arusha ni ujana wa Mrisho na Lema.
 
Tanzania Njema Yaja

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Messages
3,055
Points
2,000

Tanzania Njema Yaja

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2015
3,055 2,000
Nadhani founder wa taifa hili kuna kitu hawakukiweka sawa.... inaumiza sana kuwa mpinzani hapa tz.... Lema inaonekana was so much pressed mpaka akaamua kujilipua.... but why all these..... watu wanajifanya wanasali na nguzo kuu ya dini zetu zote ni kumpenda na kumheshim mwenzio.... tunashindwa nini kwenye hili??
 
cumins

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
979
Points
500

cumins

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
979 500
Nimeangalia ile clip Lema anapiga makelele hataki kuambiwa kwanini imekuwa hivyo.
Ni bora tungezijua sababu.
Na ninavyojua misaada yoyote hufuata utaratibu. Lema atueleze sababu ambazo zimesababisha hicho kituko nasi tujadili.
 
Forum statistics

Threads 1,392,838
Members 528,729
Posts 34,119,285
Top