iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,438
- 14,916
Msaada wa Mmarekani huwa una kiambatanishi cha takwa la demokrasia, haki za binadamu na kuheshimu wapinzani.
Sasa kama tatizo la Arusha linahusiana na ubaguzi dhidi ya wapinzani, hawa jamaa ambao wanasaidia mambo mbalimbali nchini kwa mamilioni ya dola, wanaweza kusitisha kila kitu.
Kwa dunia hii ya mitandao ambayo email ya Bill gates iko nje nje, lazima kazinyaka taarifa hizi. Sasa tujiandae kwa maumivu.