bilioni 40 za rushwa zarudishwa serikalini

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Mfanyabiashara mkubwa Reginald Mengi ameshusha tuhuma nzito kuwa Serikali ya Tz imerejeshewa fedha ilizoibiwa kwa njia ya rushwa miaka miwili iliyopita na mfanyabiashara ambaye hakuona hata haya kujitangaza hadharani kuwa alipokea fedha hizo kama rushwa na baada ya miaka miwili akagundua kuwa ni rushwa ameamua kuirejeshea serikali nayo imeipokea kwa mikono miwili na kumsifu kwa moyo wake wa kijasiri!!!!! dah kwa mtindo huu wezi zote siyo wameiba hata wewe aliyekuibia muombe tu akurudioshie yaishe!!source ITV
 
Au ni sharti alilopewa bwana mengi na YM &wakili wake MB atangaze hvyo(kumsafsha ym) ili asilipe ile shilingi moja (1/=) ?maana mpaka dakika ya mwisho ktk ile kesi bwana mengi alikuwa kashikwa pabaya na akina manji,marando..!anyway, i stand 2 be corrected,me mgeni humu jf!
 
Niko mbali kidogo naomba waliopata taharifa kwa uzuri watudadavulie kwa uswafi
 
Back
Top Bottom