FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,063
- 40,724
Kale ka-junction kanalitia taifa hasara, walau kwa kuanzia kuchimba msingi hizo pesa zitafaa, kazi ianze haraka iwezekanavyo.
Kuna sera za kutaifisha mali iliyokuwa ikitoroshwa bila kulipa stahiki za serikali ili kuhujumu uchumi
Kuna sera za kutaifisha mali iliyokuwa ikitoroshwa bila kulipa stahiki za serikali ili kuhujumu uchumi
hawa jamaa kilichowaponza ni udukuzi basiSijaelewa INA maana hao watu
walikuwa wanaisafirisha pasipo ruhusa au vibali?au aina ya usafiri ndio iliwaponza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kale ka-junction kanalitia taifa hasara, walau kwa kuanzia kuchimba msingi hizo pesa zitafaa, kazi ianze haraka iwezekanavyo.
Hivi dhahabu ya bilioni 30 unapoisafirisha kwa njia ya panya inamaanisha umekamilisha taratibu zote, si ndio eeh?Sijaelewa INA maana hao watu
walikuwa wanaisafirisha pasipo ruhusa au vibali?au aina ya usafiri ndio iliwaponza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kipaumbeleKwani hii haitoshi kuleta walau ka mbombadier kengine?
Kale ka-junction kanalitia taifa hasara, walau kwa kuanzia kuchimba msingi hizo pesa zitafaa, kazi ianze haraka iwezekanavyo.
Kwani kodi yote inayokusanywa Dar hutumika Dar? Be broad mindedWewe mwehu kwani dar kuna machimbo ya dhahabu? Ipelekwe kwenye machimbo wajenge hata barabara km 30, za mitaa
Kwani kodi yote inayokusanywa Dar hutumika Dar? Be broad minded
Kwani report ya polis imeshatoka?Kuna sera za kutaifisha mali iliyokuwa ikitoroshwa bila kulipa stahiki za serikali ili kuhujumu uchumi
Sasa nimezaliwa Dar na nimekulia Dar, na naendelea kuishi Dar, sipajui kwingine kokote, unataka nihamie wapi kwani? Maana hapa mimi ni kwetu, au unataka nihamie walipotokea wazazi wangu? Ili iweje..kila kitu dar, huna kwenu nini?
Kwamba hawajaitoa kwa umma haimaanishi haipo au wanashurutishwa kukupaKwani report ya polis imeshatoka?
Nilimskia rais akisema haki itendeke
Kale ka-junction kanalitia taifa hasara, walau kwa kuanzia kuchimba msingi hizo pesa zitafaa, kazi ianze haraka iwezekanavyo.
Kwa sababu haujaipigia kelele kama mimi ninavyoipigia kelele Kamata junction, tofauti ni hiyo tu. Mfano tulivyoipigia kelele Ubungo Junction, wengi wape, sisi tuko wengi