Bilioni 30 za dhahabu iliyonaswa zijenge flyover KAMATA junction haraka sana


BlackPanther

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Messages
5,787
Likes
4,559
Points
280
BlackPanther

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2015
5,787 4,559 280
Kale ka-junction kanalitia taifa hasara, walau kwa kuanzia kuchimba msingi hizo pesa zitafaa, kazi ianze haraka iwezekanavyo.
Mkuu! Ni nani aliyekudanganya zile mali ni za wizi? Yani unaisapoti serikali itaifishe haki ya mtu!! Binadamu tunajisahau sana hata Mungu hatumuogopi....
 
K

Katali

Senior Member
Joined
Nov 2, 2016
Messages
196
Likes
90
Points
45
Age
48
K

Katali

Senior Member
Joined Nov 2, 2016
196 90 45
Hivi ingekuwa wewe ndiye uliyekamata hizi ungekwepa mkono huu wa Sheria? Je, Serikali inawawezesha kwa kiasi gani ili hata wakiona vishawishi kama hivyo waweze kuishinda tamaa? Serikali imejiuliza ni kwa nini wafanyabiashara wa madini wanatorosha madini kila kukicha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
13,654
Likes
7,941
Points
280
Age
28
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
13,654 7,941 280
Hivi ingekuwa wewe ndiye uliyekamata hizi ungekwepa mkono huu wa Sheria? Je, Serikali inawawezesha kwa kiasi gani ili hata wakiona vishawishi kama hivyo waweze kuishinda tamaa? Serikali imejiuliza ni kwa nini wafanyabiashara wa madini wanatorosha madini kila kukicha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nisingeomba hongo kubwa, ningeomba milioni 100 tu halafu nawakana, nawachomesha kwa askari wengine, nisingewasindikiza.
 
W

wakumwaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2018
Messages
469
Likes
328
Points
80
W

wakumwaga

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2018
469 328 80
Sasa nimezaliwa Dar na nimekulia Dar, na naendelea kuishi Dar, sipajui kwingine kokote, unataka nihamie wapi kwani? Maana hapa mimi ni kwetu, au unataka nihamie walipotokea wazazi wangu? Ili iweje..
Beki 3 wa wazaz wako kaandaa chai?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
5,836
Likes
3,704
Points
280
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
5,836 3,704 280
Kwani dhahabu ilikua ya wizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa, ila kama kama siyo ya wizi au hujuma kwanini kuhonga 700m/- na kutaka kumalizia rushwa ya 300m/-?! Kweli kama umenunua kihalali utahonga bilioni moja for nothing?!
Haya maswali tunajiuliza wengi kwa kweli...
 
K

kantalambaz

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2017
Messages
665
Likes
251
Points
80
K

kantalambaz

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2017
665 251 80
kwa jopo la mawakili ambao hao wahindi watawaweka ile dhahabu lazima waondoke nayo na fidia juu
Hakuna kitu hapo acha kuota mchana hiyo wala haipelekwi mahakamani watatakiwa waonyeshe vibali tu na wakishindwa tu issue inaishia hapo hapo hakuna cha kwenda kwa pilato wala nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
1,865
Likes
2,556
Points
280
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2018
1,865 2,556 280
Hakuna kitu hapo acha kuota mchana hiyo wala haipelekwi mahakamani watatakiwa waonyeshe vibali tu na wakishindwa tu issue inaishia hapo hapo hakuna cha kwenda kwa pilato wala nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo Jana walikuwa wapi pale au huelewi maana ya mahakama
 
K

kantalambaz

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2017
Messages
665
Likes
251
Points
80
K

kantalambaz

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2017
665 251 80

Forum statistics

Threads 1,250,076
Members 481,223
Posts 29,719,979