Nashauri wakate 10% kama Zaka kwa ajili ya kujenga madarasa ya shule za MsingiBilion 3 zimeipa kiwewe chadema, huko ndani hakukaliki. Watu wanapishana tu koridoni, kila mtu kageuka chawa wa mwenyekiti. Kila mtu anataka kulamba kidogo.
Hizi pesa chadema mlizopewa mnapaswa kujenga ofisi ya kisasa acheni uswahili. Lakini kwa navyowajua zitaishia kwenye mikoni ya wachache. Pia niwashauri yale mambo ya kufanya manunuzi alafu vinavyonunuliwa kuandikwa jina la mtu binafsi acheni, safari hii Kuna kundi humo limejipanga kuwabumbulua.
Njaa haina baunsa
View attachment 2550405
Tunazungumzia kuleta au kutatua?i
Zinakuhusu ila wewe siyo uliyezileta!!
Nakuhakikishaia mpaka hapo mbowe ameshakata hapo fungu lake 1/3 kuwa anakidai chamaHapo wajenge ofisi tuu, ila siwapangii ni mtazamo wangu tuu.
Zishapelekwa machame, zinapaki uani kwa mboweHivi zile NIẞSAN za CHADEMA zipo wapi sizionii siku hizi
1/3??? Ingekua hivyo basi ingekua afadhali kabisa.Nakuhakikishaia mpaka hapo mbowe ameshakata hapo fungu lake 1/3 kuwa anakidai chama
Wakati ule wa ukame kuna watu walijitolea lakini kuna wengine waliikopesha chama, lazima walipweBilion 3 zimeipa kiwewe CHADEMA, huko ndani hakukaliki. Watu wanapishana tu koridoni, kila mtu kageuka chawa wa mwenyekiti. Kila mtu anataka kulamba kidogo.
Hizi pesa CHADEMA mlizopewa mnapaswa kujenga ofisi ya kisasa, acheni uswahili, lakini kwa ninavyowajua zitaishia kwenye mikoni ya wachache.
Pia niwashauri yale mambo ya kufanya manunuzi halafu vinavyonunuliwa kuandikwa jina la mtu binafsi acheni, safari hii kuna kundi humo limejipanga kuwabumbulua.
Njaa haina baunsa.
View attachment 2550405
Bilion 3 zimeipa kiwewe CHADEMA, huko ndani hakukaliki. Watu wanapishana tu koridoni, kila mtu kageuka chawa wa mwenyekiti. Kila mtu anataka kulamba kidogo.
Hizi pesa CHADEMA mlizopewa mnapaswa kujenga ofisi ya kisasa, acheni uswahili, lakini kwa ninavyowajua zitaishia kwenye mikoni ya wachache.
Pia niwashauri yale mambo ya kufanya manunuzi halafu vinavyonunuliwa kuandikwa jina la mtu binafsi acheni, safari hii kuna kundi humo limejipanga kuwabumbulua.
Njaa haina baunsa.
View attachment 2550405
Wewe ndiye umejichanganya. Maridhiano yamewaumiza sana washamba wa sukuma gang.Hapa umechanganya mafaili kisa kukimbilia Sukuma Gang!
Tubaongelea pesa ambazo Chadema mmepokea kama Ruzuku mliyokuwa mkisema hamuitaki kutokana na kutoutambua uchaguzi.
Sasa mmeutambua rasmi uchaguzi na pesa mmepokea pia!
Mbowe ni mpiga deal ...
Zile ni Ford Ranger zipo zinapiga kaziHivi zile NIẞSAN za CHADEMA zipo wapi sizionii siku hizi
Umemjibu vyema! Pumbavu zakeKama hujaelewa hilo siyo tatizo langu, ni tatizo lako!!
[emoji38][emoji1][emoji16]Kuna Uzi nimeandika kuhusu kikao nilichowahi kuhudhuria Cha kuwapiga bei viongozi wa Chadema 2017 na ni kweli Mbowe aliangukia 3b. Moderators wamekataa kuipandiaha. Very interesting thread. Nikijaribu naletewa ujumbe, "Oops, we are going to some problem" then inamalizia , "you may tag only 10 people to this thread". Simu hawapokei sijui nini shida. Ila hamna kwere jomba hata humu humu kwenye Uzi zingine tutakomenti.
Emoji hazifunguki sijui ni tekno za Kariakoo.