CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,841
- 43,111
Sukum gang Lazima muugue sonona mwaka huuHilo gazeti ni la huko kwenu, waandishi ni walewale wa Tanzania daima. Au hamuaminiani sasa hivi?
Sukum gang Lazima muugue sonona mwaka huuHilo gazeti ni la huko kwenu, waandishi ni walewale wa Tanzania daima. Au hamuaminiani sasa hivi?
CHADEMA hawajapewa Bilioni 3. Gazeti linasema hizo hela ni haki yao na wakipewa wanaweza kufanya kati ya hayo mambo!!Umesoma ukaelewa? Bil 3 tayari, ndio hapo chadema wamepagawa hawajui wafanye lipi waache lipi
Safari hii mkizubaa mnaliwa tena, bil 3 hizo msifanyie masiharaSukum gang Lazima muugue sonona mwaka huu
Gazeti limesema wapi hayo? Gazeti limesema bil 3 zimeipa jeuri chademaCHADEMA hawajapewa Bilioni 3. Gazeti linasema hizo hela ni haki yao na wakipewa wanaweza kufanya kati ya hayo mambo!!
Yaani hela za umma zitakuwa hazina ukaguzi. Yaani serikali inatoa hela zitakazoweza kuliwa!!??Safari hii mkizubaa mnaliwa tena, bil 3 hizo msifanyie masihara
Sukuma Gang mwaka wa maumivu kwenu huuSafari hii mkizubaa mnaliwa tena, bil 3 hizo msifanyie masihara
Kwani ni mara ngapi chadema pesa zimeliwa? Report ya CAG ilibaini hadi kuna magari yalinunuliwa na kuandikwa majina binafsi badala ya jina la chamaYaani hela za umma zitakuwa hazina ukaguzi. Yaani serikali inatoa hela zitakazoweza kuliwa!!??
sukuma gang wachachawa na mikutano kabambe ya chadema ambayo imevunja record ya wahudhuriaji huku katibu mkuu wa ccm akitelekezwa na mataga hayajui anafanyia wapi hio mikutano ila ya chadema yanaifahamu.Bilion 3 zimeipa kiwewe chadema, huko ndani hakukaliki. Watu wanapishana tu koridoni, kila mtu kageuka chawa wa mwenyekiti. Kila mtu anataka kulamba kidogo.
Hizi pesa chadema mlizopewa mnapaswa kujenga ofisi ya kisasa acheni uswahili. Lakini kwa navyowajua zitaishia kwenye mikoni ya wachache. Pia niwashauri yale mambo ya kufanya manunuzi alafu vinavyonunuliwa kuandikwa jina la mtu binafsi acheni, safari hii Kuna kundi humo limejipanga kuwabumbulua.
Njaa haina baunsa
View attachment 2550405
Kwenye hizo bil 3 wewe umekula ngapi? Au hoyahoya?Sukuma Gang mwaka wa maumivu kwenu huu
Hizl bil 3 wewe umekula ngapi? Isije kuwa wewe ni hoyahoyasukuma gang wachachawa na mikutano kabambe ya chadema ambayo imevunja record ya wahudhuriaji huku katibu mkuu wa ccm akitelekezwa na mataga hayajui anafanyia wapi hio mikutano ila ya chadema yanaifahamu.
kwamba ccm wanaofis.Hapo wajenge ofisi tuu, ila siwapangii ni mtazamo wangu tuu.
"zaipa" siyo neno linalomaanisha ukamilifu wa tendo. na Gazeti halijaandika "Zimeipa" ambalo ni neno linaloonesha tendo kamilifu!!Gazeti limesema bil 3 zimeipa jeuri chadema
Hakuna hela iliyoliwa na ndiyo maana majibu ya dodoso yalitolewa na CAG akaridhika. Acha kughushi mambo.Kwani ni mara ngapi chadema pesa zimeliwa? Report ya CAG ilibaini hadi kuna magari yalinunuliwa na kuandikwa majina binafsi badala ya jina la chama
sukuma gang yote yachizika na bado 2025 tunawanyoosha kikamilifu.RIWAYA: HEKA HEKA ZA MBOWE MLAMBA ASALI NA CHUPA YAKE YA KONYAGI EPS YA 2
sukuma gang mpaka mzae hii miaka iliyobaki baada ya hapo tutawafuta wote sukuma gang maana hata udiwan hamtapata.Safari hii inapaswa tuwapangie Cha kufanya
Sasa zaipa unaelewa nn? Hivi kweli kabisa umeamua kutokua na akili?"zaipa" siyo neno linalomaanisha ukamilifu wa tendo. na Gazeti halijaandika "Zimeipa" ambalo ni neno linaloonesha tendo kamilifu!!
CAG karishika wapi na lini? Hilo lilipita Kama mengine tu yaliyopitaHakuna hela iliyoliwa na ndiyo maana majibu ya dodoso yalitolewa na CAG akaridhika. Acha kughushi mambo.
Ujanja wenu wote pesa anawapiga mtu mmoja?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbowe master sanasukuma gang mpaka mzae hii miaka iliyobaki baada ya hapo tutawafuta wote sukuma gang maana hata udiwan hamtapata.
Hapa umechanganya mafaili kisa kukimbilia Sukuma Gang!Waweze kuzirafuta washindwe kuzipangia matumizi? Sukuma Gang ndiyo mumepagawishwa na hizo hela mnaumia sana, na hasa mkisikia kuwa wenzenu wamehomola mabilioni ya plea bargain na nyie mko mnapiga miayo tu ndiyo mnapagawa hasa.
Mliokuwa manawatetea kuwa ni waadulifu ndiyo hao wamekwapua mabilioni wameyaficha China na Ushelisheli na Msoga Gang nao wanajimegea kivyao nyie mumebakia kubweka bweka kama mbwa koko.
ulishawahi kuuliza huko ccm kuwa inapokea ngapi au wewe ndio yale mabwabwa yaliyopo nchi hii aliyotaka kupambana nayo makonda akakatazwa na dikteta kuwa awaache.Hizl bil 3 wewe umekula ngapi? Isije kuwa wewe ni hoyahoya