Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,880
- 29,052
Khaah. sasa viongozi watapatikanaje?AFADHALI MWENGE KULIKO UCHAGUZI

Kuwalipa vizuri? Chini ya Magufuli? Sahau! Si umesikia yeye hataki kuona mtumishi wa serikali akilipwa zaidi ya milioni 15 TZS! Sasa ukitaka the best brains kutoka kwenye private sector, kwa mshahara huo, huwezi kuwapata. Poverty mentality ya Magufuli is astonishing!
Good analysis,ndio maana Mh. Rais Dr John Pombe Magufuli ameanza kupunguza mojawapo ya running cost za Mwenge.ANGALIZO:
1. Mwaka 2014 zilitumika zaidi ya Billion 120 kwa tabia zetu za wizi,ufisadi na ubadhirifu nathubutu kuweka round figure kuwa billion 170 na sitoshangaa ikawa mara 2 zaidi
2. Mwaka 2015 zilitumika Billion 180
3. Mwaka huu zimetumika Bilioni 220
Hapo ongeza muda ambao watu wametumia kutofanya kazi, foleni,Ongezeko la Ukimwi, na mengineyo hivyo nathubutu kusema kwa mwaka huu mwenge una cost taifa si chini ya TRILLION 1 na nusu
Pesa zipo nyingi tuu maana wakati huo huo serikali kupitia TANESCO inawalipa IPTL shilling million 400 kwa siku na kila siku inashindwa mahakamani.
Naamini maneno ya Magufuli kuwa pesa iko nyingi sana nchi hii na hatuhitaji misaada toka kwa wazungu.
Tarehe 27 mwezi May, mwaka 2014 siku ya Jamanne majira ya saa 4 asubuhi, kwenye kipindi cha maswali na majibu, Naibu waziri wa habari vijana, utamaduni na michezo Juma Nkamia alieleza makadirio ya gharama za kukimbiza Mwenge wa Uhuru nchini.
Nkamia alisema "serikali kuu hutenga kiasi cha fedha kulingana na mahitaji na gharama halisi ya wakati husika.. Mwaka 2012 jumla ya shilingi Bilioni 43 zilitumika ambapo kati ya hizo Bilioni kumi na moja (11) zilitengwa na serikali na Bilioni 32 zilichangwa na mashirika, taasisi, makampuni na wadau mbalimbali walioombwa kuchagia kwa ajili ya kuadhimisha uzinduzi na kilele cha mbio za mwenge wa uhuru." Taarifa zinaonesha kuwa mwaka 2014 inakadiriwa jumla ya Shilingi Bilioni 120 zilitumika kama gharama ya kukimbiza Mwenge nchi nzima.
CALCULATION.
Bilioni 120 zinazotumika kukimbiza mwenge nchini (mwaka huu huenda zikaongezeka), zinatosha kufanya yafuatayo;
1. Kununua mashine 60 za MRI na CT Scan kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wenye kuhitaji vipimo hivyo. Ikumbukwe hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuna mashine moja tu ya MRI na moja ya CT Scan ambazo zote ni mbovu. Fedha za Mwenge zinaweza kununua mashine 60 za aina hiyo.
Rais Magufuli alijaribu kuhimiza ukarabati wa mashine hizo lakini zilifanya kazi kidogo tu kisha zikafa tena. Kwa sasa hakuna huduma za Vipimo vya MRI Hospitali ya Muhimbili, hadi imefikia hatua wagonjwa wametunga kirefu cha MRI kuwa ni;
-Magufuli -Rudi -Imeharibika tena.
2. Shilingi Bilioni 120 zinazotumika kukimbiza Mwenge zinatosha kulipia mikopo ya wanafunzi 61,624 wa vyuo vya Elimu ya Juu nchini. Hadi sasa takribani wanafunzi 40,000 walioko vyuoni hawajapata mikopo. Kumbe fedha za Mwenge zingeweza kuwalipia mikopo wanafunzi wote waliobaki na chenchi ikabaki (61624 -40000) x 1,960,000 = 4,238,304,000. Ikabaki chenchi ya Bilioni 4.2
3. Bilioni 120 za Mwenge zinatosha kujenga Zahanati 3,870 kwa gharama ya Mil.41 kila Zahanati. Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mwaka huu Tanzania ina jumla ya Kata 3,802. Kwahiyo Bil.120 za Mwenge zinatosha kujenga Zahanati kila Kata nchini na chenchi ikabaki. (3870-3802) × 41,000,000 = 2,788,000,000. Ikabaki chenchi ya Bilioni 2.7
4. Bil 120 za Mwenge zinatosha kununua Boti 13 za kisasa za majini kama ile ya Bakharesa (Kilimanjaro 5). Ikumbukwe ukiondoa boti za Bakhresa, serikali haina usafiri wa kueleweka wa kwenda Zanzibar. Meli mbili za Mv. Spice Islanders na Mv.Scagget zilizama na kuua maelfu ya watanzania kutokana na uchakavu wa meli hizo. Kwahiyo Bil.120 za Mwenge zingeweza kununua meli mpya za kisasa kwa ajili ya usafiri wa Zanzibar na nchi jirani ktk bahari ya Hindi kama Msumbiji, Comoro na Kenya. Hii ingekua njia ya kuongeza pato la taifa kupitia sekta ya usafiri majini.
On other hand tungenunua Boti za kisasa tungeweza kupromote utalii wa fukwe (Beach Tourism). Nchi ya Mauritius inaingiza zaidi ya Shilingi Trilioni 10 kwa mwaka (nusu ya bajeti ya Tanzania) kupitia utalii wa fukwe tu. Mauritius hawana Mbuga za wanyama, hawana mlima mrefu kama Kilimanjaro, lakini wanapata Trilioni 10 kwa mwaka kupitia utalii wa fukwe, Tanzania tuna vivutio vya kila aina lakini tunaingiza Trilioni 1.7 tu kupitia sekta ya utalii.
Kwahiyo tukitumia fedha za Mwenge tunaweza kuboresha utalii wa fukwe na kuvutia watalii wengi zaidi na kupata mapato makubwa zaidi kutokana na sekta ya utalii.
5. Bil 120 za Mwenge zikikusanywa kwa miaka mitano (120 bil x 5 = 600 Bil) zinatosha kununua Ndege kubwa za kisasa zipatazo 10 angalau na sisi tukawa na Shirika letu la ndege. Kwa mujibu wa mtandao wa www.aircraftcompare.com bei ya ndege aina ya Boeing 737 yenye uwezo wa kubea abiria 240 ni USD 43 Million sawa na Shilingi za kitanzania Bil.80.
Kwahiyo Bil.600 za Mwenge (kwa miaka mitano) zinaweza kununua ndege kama 10 hivi angalau na sisi tukafufua Air Tanzania yetu tukaanza kushindana na Kenya Airways, Rwandan Air au Ethiopian Airways.
Kwa ujumla yako mambo mengi sn fedha za Mwenge zinaweza kufanya ikiwa zitatumiwa vzr. Hizi nilizotoa ni alternatives chache tu lakini kama viongozi wetu wakiwa makini wanaweza kufanya makubwa zaidi ya haya.
Written By Malisa GJ
kuahirishwa? hiyo ndotoGood analysis,ndio maana Mh. Rais Dr John Pombe Magufuli ameanza kupunguza mojawapo ya running cost za Mwenge.
Kwa analysis yako usishangae mwaka ujao mbio za Mwenge zikahahirishwa na badala yake fedha hizo zikatumika kutatua mojawapo ya matatizo sugu Kitaifa.
Wewe, kipi kinakutia upofu wa akili hadi u atetea yasiyowezekana? Ione mantiki kwenye hoja. Linganisha zilizotumika na zinazodaiwa kuokolewa kisha uje na tofauti hapa. Kama alikuwa na nia ya dhati angeuzuia mwanzoni ili kuziokoa zote.Hizo lugha za kusema Rais kakurupuka sijui unazitoa wapi kila jambo lina mwanzo wake hapa Rais anatakiwa kupongezwa na si kubezwa,hata Baba yako huwezi kumbwambia eti kakurupuka.
Wewe hauko kwenye akili ya Rais wala washauri yeye ndiye mwenye dhamana ya nchi na alichokifanya anajua yeye undani wake km unaona amekosea kuokoa hata hiki alichookoa hayo ni mawazo yako hapo ulipo pia fahamu kua hilo alilikuta kwa hiyo hata kuliondoa pengine ana mpango wa kuliondoa,hakuna haja ya kua na hasira sana.Hata ingelikua ni wewe pengine hata hungethubutu kufanya aliyokwisha yafanya Rais.Wewe, kipi kinakutia upofu wa akili hadi u atetea yasiyowezekana? Ione mantiki kwenye hoja. Linganisha zilizotumika na zinazodaiwa kuokolewa kisha uje na tofauti hapa. Kama alikuwa na nia ya dhati angeuzuia mwanzoni ili kuziokoa zote.
Jitafakari tena kama unastahili kuwa humu jf kwani jukwaa halipendagi wajinga!
Kaka nimekueleqa sana. Heshkma kwako.Mimi nina mtazamo tofauti kidogo na wachangiaji wengi.Mwenge si kitu kibaya sana pamoja na kutumia mabilioni ya fedha (kibiashara ni kama kuogopa kutumia fedha kwenye matangazo).Mimi ningeshauri tuwe tunaukimbiza kila baada ya miaka 4 au 5 hivi.Tusiukimbize kila mwaka.Uwe kama kombe la dunia hivi la FIFA.Nina uhakika baada ya miaka 4 mwenge ukiibuka tena utavuta hisia za wengi na utafikisha ujumbe uliokusudiwa.Dunia inabadilika madhumuni ya mwenge miaka ile na sasa hivi inaweza kuwa tofauti kabisa.Ni mawazo yangu.Turudi kwenye nini yalikuwa madhumuni ya kuanzishwa mbio za mwenge.Mungu ibariki Tanzania
Bil 220 zingetosha kujenga barabara za vumbiANGALIZO:
1. Mwaka 2014 zilitumika zaidi ya Billion 120 kwa tabia zetu za wizi,ufisadi na ubadhirifu nathubutu kuweka round figure kuwa billion 170 na sitoshangaa ikawa mara 2 zaidi
2. Mwaka 2015 zilitumika Billion 180
3. Mwaka huu zimetumika Bilioni 220
Hapo ongeza muda ambao watu wametumia kutofanya kazi, foleni,Ongezeko la Ukimwi, na mengineyo hivyo nathubutu kusema kwa mwaka huu mwenge una cost taifa si chini ya TRILLION 1 na nusu
Pesa zipo nyingi tuu maana wakati huo huo serikali kupitia TANESCO inawalipa IPTL shilling million 400 kwa siku na kila siku inashindwa mahakamani.
Naamini maneno ya Magufuli kuwa pesa iko nyingi sana nchi hii na hatuhitaji misaada toka kwa wazungu.
Tarehe 27 mwezi May, mwaka 2014 siku ya Jamanne majira ya saa 4 asubuhi, kwenye kipindi cha maswali na majibu, Naibu waziri wa habari vijana, utamaduni na michezo Juma Nkamia alieleza makadirio ya gharama za kukimbiza Mwenge wa Uhuru nchini.
Nkamia alisema "serikali kuu hutenga kiasi cha fedha kulingana na mahitaji na gharama halisi ya wakati husika.. Mwaka 2012 jumla ya shilingi Bilioni 43 zilitumika ambapo kati ya hizo Bilioni kumi na moja (11) zilitengwa na serikali na Bilioni 32 zilichangwa na mashirika, taasisi, makampuni na wadau mbalimbali walioombwa kuchagia kwa ajili ya kuadhimisha uzinduzi na kilele cha mbio za mwenge wa uhuru." Taarifa zinaonesha kuwa mwaka 2014 inakadiriwa jumla ya Shilingi Bilioni 120 zilitumika kama gharama ya kukimbiza Mwenge nchi nzima.
CALCULATION.
Bilioni 120 zinazotumika kukimbiza mwenge nchini (mwaka huu huenda zikaongezeka), zinatosha kufanya yafuatayo;
1. Kununua mashine 60 za MRI na CT Scan kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wenye kuhitaji vipimo hivyo. Ikumbukwe hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuna mashine moja tu ya MRI na moja ya CT Scan ambazo zote ni mbovu. Fedha za Mwenge zinaweza kununua mashine 60 za aina hiyo.
Rais Magufuli alijaribu kuhimiza ukarabati wa mashine hizo lakini zilifanya kazi kidogo tu kisha zikafa tena. Kwa sasa hakuna huduma za Vipimo vya MRI Hospitali ya Muhimbili, hadi imefikia hatua wagonjwa wametunga kirefu cha MRI kuwa ni;
-Magufuli -Rudi -Imeharibika tena.
2. Shilingi Bilioni 120 zinazotumika kukimbiza Mwenge zinatosha kulipia mikopo ya wanafunzi 61,624 wa vyuo vya Elimu ya Juu nchini. Hadi sasa takribani wanafunzi 40,000 walioko vyuoni hawajapata mikopo. Kumbe fedha za Mwenge zingeweza kuwalipia mikopo wanafunzi wote waliobaki na chenchi ikabaki (61624 -40000) x 1,960,000 = 4,238,304,000. Ikabaki chenchi ya Bilioni 4.2
3. Bilioni 120 za Mwenge zinatosha kujenga Zahanati 3,870 kwa gharama ya Mil.41 kila Zahanati. Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mwaka huu Tanzania ina jumla ya Kata 3,802. Kwahiyo Bil.120 za Mwenge zinatosha kujenga Zahanati kila Kata nchini na chenchi ikabaki. (3870-3802) × 41,000,000 = 2,788,000,000. Ikabaki chenchi ya Bilioni 2.7
4. Bil 120 za Mwenge zinatosha kununua Boti 13 za kisasa za majini kama ile ya Bakharesa (Kilimanjaro 5). Ikumbukwe ukiondoa boti za Bakhresa, serikali haina usafiri wa kueleweka wa kwenda Zanzibar. Meli mbili za Mv. Spice Islanders na Mv.Scagget zilizama na kuua maelfu ya watanzania kutokana na uchakavu wa meli hizo. Kwahiyo Bil.120 za Mwenge zingeweza kununua meli mpya za kisasa kwa ajili ya usafiri wa Zanzibar na nchi jirani ktk bahari ya Hindi kama Msumbiji, Comoro na Kenya. Hii ingekua njia ya kuongeza pato la taifa kupitia sekta ya usafiri majini.
On other hand tungenunua Boti za kisasa tungeweza kupromote utalii wa fukwe (Beach Tourism). Nchi ya Mauritius inaingiza zaidi ya Shilingi Trilioni 10 kwa mwaka (nusu ya bajeti ya Tanzania) kupitia utalii wa fukwe tu. Mauritius hawana Mbuga za wanyama, hawana mlima mrefu kama Kilimanjaro, lakini wanapata Trilioni 10 kwa mwaka kupitia utalii wa fukwe, Tanzania tuna vivutio vya kila aina lakini tunaingiza Trilioni 1.7 tu kupitia sekta ya utalii.
Kwahiyo tukitumia fedha za Mwenge tunaweza kuboresha utalii wa fukwe na kuvutia watalii wengi zaidi na kupata mapato makubwa zaidi kutokana na sekta ya utalii.
5. Bil 120 za Mwenge zikikusanywa kwa miaka mitano (120 bil x 5 = 600 Bil) zinatosha kununua Ndege kubwa za kisasa zipatazo 10 angalau na sisi tukawa na Shirika letu la ndege. Kwa mujibu wa mtandao wa www.aircraftcompare.com bei ya ndege aina ya Boeing 737 yenye uwezo wa kubea abiria 240 ni USD 43 Million sawa na Shilingi za kitanzania Bil.80.
Kwahiyo Bil.600 za Mwenge (kwa miaka mitano) zinaweza kununua ndege kama 10 hivi angalau na sisi tukafufua Air Tanzania yetu tukaanza kushindana na Kenya Airways, Rwandan Air au Ethiopian Airways.
Kwa ujumla yako mambo mengi sn fedha za Mwenge zinaweza kufanya ikiwa zitatumiwa vzr. Hizi nilizotoa ni alternatives chache tu lakini kama viongozi wetu wakiwa makini wanaweza kufanya makubwa zaidi ytten By Malisa GJ
Mimi nilisema hivi kwa MTU mwenye akili timamu huwezi kubaliana na issue ya kupata kiki mwenye vyombo vyahabari bila ya kuhoji. Umeokoa ngapi na umetumia ngapi. Je ni haki au Chang's LA macho?ANGALIZO:

KUMBE MWENGE NI SEHEMU YA KUPIGIA DILI KWA SASA MWENGE HAUNA TIJA KM KUMULIKA ULISHA MULIKA TANZANIA NZIMA KILICHOBAKI NI KUPIGIA DILI TUuchambuzi mzuri na wenye ushaidi tatizo sasa mwenge sizani kama itatokea utaachwa kuzunguswa
ushajiulizaga yule mungu tunae muimbaga kwenye nyimbo ya taifa ni mungu yupiKUMBE MWENGE NI SEHEMU YA KUPIGIA DILI KWA SASA MWENGE HAUNA TIJA KM KUMULIKA ULISHA MULIKA TANZANIA NZIMA KILICHOBAKI NI KUPIGIA DILI TU
Wewe tumekuzoea huwezi kuisifia Serikali kwa lolote. Utaishia hivyo hivyo maana CDM haitakwenda Ikulu labda 2055ANGALIZO: