Bilioni 220 zatumika kukimbiza Mwenge mwaka huu 2016

Bilioni 220 zatumika kukimbiza Mwenge mwaka huu 2016

Mwenge, haujawahi kuwa na faida yeyote,ni kizungumkuti cha aina yake tu.
EE MUNGU, IBARIKI TZ.
 
Mmmmmh halafu tunapewa msaada wa bilioni 490 kwa miaka minne....???? Mbona kama sielewi elewi
 
Tuacheni kufanya mambo ambayo haya tija na kupoteza muda kwa kukimbiza mwenge
 
Ni hatari hivi kama viwanda kwa pesa hio kwamiaka mitano?
 
Mimi nina mtazamo tofauti kidogo na wachangiaji wengi.Mwenge si kitu kibaya sana pamoja na kutumia mabilioni ya fedha (kibiashara ni kama kuogopa kutumia fedha kwenye matangazo).Mimi ningeshauri tuwe tunaukimbiza kila baada ya miaka 4 au 5 hivi.Tusiukimbize kila mwaka.Uwe kama kombe la dunia hivi la FIFA.Nina uhakika baada ya miaka 4 mwenge ukiibuka tena utavuta hisia za wengi na utafikisha ujumbe uliokusudiwa.Dunia inabadilika madhumuni ya mwenge miaka ile na sasa hivi inaweza kuwa tofauti kabisa.Ni mawazo yangu.Turudi kwenye nini yalikuwa madhumuni ya kuanzishwa mbio za mwenge.Mungu ibariki Tanzania
Naunga Mkono Hoja, Lakini Itafika Kwa Wahusika?
 
Mimi naona wange nunua mienge mingi sana ya kutosha kila kata. Ikifika siku ya kuwasha wanawasha kila kata huko waliko wanakuwa na galoni moja ya mafuta ya taa halafu siku ya kuzima wanakutana wote wanazima kwenye kata yao. Nilivyokuwa mdogo nikisoma nailikuwa naamini kuwa mafuta ya mwenge ndio mafuta gharama zaidi kwa kuwa nchi nzima ilikuwa inachangia mafuta ya mwenge. Sasa siku moja mwalimu akawa antuelezea stage za refinary ya mafuta anzia crude mpaka stage ya juu niakwa nasubiria tufike kwenye mafuta ya mwenge. sikuona nikamuuliza mwalimu akanimbia mwenge unatumia mafuta ya taa. Nilichoka kabisa aliponiambia kuwa ni kweli mafuta ya mwenge ndio ghali zaidi.


Chief at what cost? hata kama ingekuwa ni kila baada ya miaka 20
 
21st century nchi ina watu milioni 60 na akili zao timamu wanakimbiza moto ili wapate maendeleo

unbelievable
 
Back
Top Bottom