Bilioni 220 zatumika kukimbiza Mwenge mwaka huu 2016

Bilioni 220 zatumika kukimbiza Mwenge mwaka huu 2016

Umewafungua macho hawa wasanii wa kutumbua na wafuasi wao. Ili la mwenge litamchanganya sana magu...ukizingatia wakati wa kampeni alitumia nembo ya mwenge ktk mashati yake ya kijani; ishara ya kuuenzi.
 
Something is better than nothing.
Ni kweli mkuu. Ni sawa na waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi anaachwa kuhudhuria mkutano wa un habitati, anachaguliwa mbunge tu ambaye hata uenyekiti wa kamati ya bunge inayohusika na ardhi, maliasili, nyumba na makazi hana. Something is better than nothing[emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji125]
 
Ukitaka kuondoa RUZUKU za vyama vya siasa ondoa pia na vyama vya siasa!! Unapata wapi ujasili wakulinganisha Mwenge na ruzuku ya vyama vya siasa?

Uelewe tu kwamba tunaopinga gharama za mwenge tunapinga pia na ukimbizwaji wa mwenge, kwa kupendekeza upelekwe makumbusho!! Wewe unapinga ruzuku ukiwa na lengo lipi hasa kwa uhai au uwepo wa vyama vya siasa?
Yote ni matumizi ya anasa wakati tungeweza kufanya mambo ya maana. Sarakasi zote kwenye vyama, ni ruzuku.

Mbona timu zamipira hazipewi ruzuku na zinaendelea?

Nashauri isiwe kazi ya serikali, bali ibaki kuwa kazi ya wenye chama. Akili zitawarudi tu
 
Yote ni matumizi ya anasa wakati tungeweza kufanya mambo ya maana. Sarakasi zote kwenye vyama, ni ruzuku.

Mbona timu zamipira hazipewi ruzuku na zinaendelea?

Nashauri isiwe kazi ya serikali, bali ibaki kuwa kazi ya wenye chama. Akili zitawarudi tu
timu za mpira na vyama vya siasa!!!!! Go beyond this notion
 
Ufafanuzi mzuri kumbe tuna vyanzo vikubwa namna hii kuleta maendeleo? Ebu JPM pita hapa.
Huyo amechambua kwa mihemko tu. "Mwaka 2014 zilitumika bil 44, kati ya hzo, serikali ilitenga 11b na 33b ni michango kutoka taasisi, mashirika etc" fikiria kwa kina hapo.
 
" Nchi ya Mauritius inaingiza zaidi ya Shilingi Trilioni 10 kwa mwaka (nusu ya bajeti ya Tanzania) kupitia utalii wa fukwe tu. Mauritius hawana Mbuga za wanyama, hawana mlima mrefu kama Kilimanjaro, lakini wanapata Trilioni 10 kwa mwaka kupitia utalii wa fukwe, Tanzania tuna vivutio vya kila aina lakini tunaingiza Trilioni 1.7 tu kupitia sekta ya utalii"

Yaani nimesoma hayo maneno hadi mwili umetetemeka!
 
Nashukuru kwa uzi mzuri ila niseme tu kwamba "kupigia mbuzi gitaa ni kipaji pia"
 
Duuuu ... Mweee,
Yaani kweli hauoni Tatizo hapo?
Ifike mahali tuache Ushabiki wa Vyama, tuweke Utaifa mbele. Iwe Taifa Kwanza, Chama baadae.

Mbona tangu zamani mwenge unakimbizwa leo ndo umeona ni tatizo?
 

Waliochangia hii ajali kutokea kwa namna moja au nyingine napendekeza wa...........

Time -2100 hours EAT
Date - 10 September 2011
Location -Indian Ocean
Cause -Overloading
Outcome -between 200 and 1,500 deaths

On 10 September 2011, the MV Spice Islander I, a passenger ferry carrying over 2,000 passengers, sank off the coast of Zanzibar. The ferry was travelling between Unguja and Pemba, two islands off the coast of mainland Tanzania, when it capsized. Early estimates put the death toll at around 200, but a report published by the Tanzanian government in January 2012 claimed that over 1,500 people had been killed.
 
Hesabu wakati mwingine huchanganya, unaweza kusema kama nisingekula mwaka mzima ningejenga ghorofa.
Mwenge una faida zake kiuchumi, kijamii na kitamaduni, badala ya kila mtoa maoni kufikiria ufutwe kabisa, tungefikiria kuuwekea miaka maalumu, kwa maana itafahamika kwamba kila baada ya miaka 3 mwenge hukimbizwa ila sio kufutwa kabisa.,!
Taja hizo faida walau mbili mbili kwa kila eneo ulilozungumzia
 
Yote ni matumizi ya anasa wakati tungeweza kufanya mambo ya maana. Sarakasi zote kwenye vyama, ni ruzuku.

Mbona timu zamipira hazipewi ruzuku na zinaendelea?

Nashauri isiwe kazi ya serikali, bali ibaki kuwa kazi ya wenye chama. Akili zitawarudi tu
Timu za mpira zinatarajiwa kuongoza nchi? Hivi huwa mna matope badala ya ubongo?
 
Back
Top Bottom