Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
BILIONI 162 ZIMEFIKISHWA KWA WALENGWA WA TASAF
Katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai, 2024 hadi Machi, 2025, Ruzuku ya shilingi bilioni 162 ilihawilishwa kwa kaya za walengwa 906,669 zenye jumla ya wanakaya 3,769,582 ili waweze kujikimu na mahitaji ya msingi.
Wanakaya hao ni kutoka katika maeneo 186 ya utekelezaji wa Mpango kwa Tanzania Bara, na Unguja na Pemba kwa Zanzibar.