Bilionea Saniniu Laizer achangia Tshs. Milioni 5 kwenye ujenzi wa ofisi ya chama cha walimu Tanzania (CWT)

Imagine kwa mwezi wanakusanya sh ngap?sema nini hili chama la wakubwa
 

Hakuna ushamba wowote anajivunia mavazi asili yake kama Waarabu wanavyojivujia kanzu na baibui.

Hawezi kuwasaidia Wamasai wote. Ni ni kazi ya serikali na jamii nzima ya Watanzania.

Kila mtu anasaidia anapoona msaada wake utakuwa na impact anayoitaka msaidiaji. Ni utashi wake.
 
kwahiyo kwa tafsiri yako kubadili utamaduni au kubadili mavazi ndo civilization?umetoka kijijini kwenu umebadilika lakini hiyo Kijiji we umeisaidia nini ?umepeleka maji au unampangia mtu matumizi yake na bla bla ,akiichangia taasisi na hiyo taasisi ikaboreshwa Ina maana taasisi itatoa huduma nzuri kwa jamii Ile Ile tena Simanjiro.
Nachoona una umia kwa ajili ya hela za Laizer ,Laizer siyo kama wewe uliyekimbia kijijini kwenu halafu unasema umebadilika
 
nyumba/boma lake nalijua, ni la kawaida tu. ukweli uzungumzwe, ukipata hela unatakiwa kubadilisha maisha ule raha, sio kuishi maisha yaleyale ya longido.
Sawa Bwana Mdogo ila kaa ukijua Laiza pesa alikuwa nayo kabla ya kukabidhiwa hiyo billion 7

So akili zako kisoda zinazodefine mafanikio kwa kuangalia nguo MTU alizovaa siku nyingine zisikutume kuja kuandika utumbo jamii forum

So ww ukikutana na kijana kala sut unasema huyu maisha kayapatia?
 
Uupuuzi mtupu CWT inahusiana vipi na ufanisi wa kazi kwa walimu,hyo hela ungeongezea kwenye ujenzi nyumba za walimu ndo ngekuona wa maana ila CWT??

Kuwa changia CWT hakuna maana... CWT ni wezi tu wanaokusanya michango ya walimu pasipo kuwasaidia walimu kupata haki na stahili zao...

Angewasaidia yatima ingekuwa safi
 
Hata akitoa fedha zake zote hatawafikisha popote.
 
Mkuu weka akiba ya maneno..
 
Ni chuki tu. 😀
 
Kwa hio mkuu akivaa kimasai hawi bilionea ila akivaa kiswahili au kizungu. Yani lazima avae siruali.
Hivi masai wakitoka hiko porini hapo mjini patakalika, mnamazizi ya kutunza ng'ombe 600
- 3000 za masai mmoja?
Aylu unataka vita itokee maana watalisha hata vibustani vyenu vya mchicha mtavumilia?
Masai na wasukima na wagogo na wamang'ati nawaomba msije mjini wengine hatujazoea mapanga.
 
hayo ni mawazo yangu tu,weka yako. period.
 
Mbona unaingilia uhuru wa mtu
 
Kati ya kabila lilobalikiwa hapa Tanzania ni masai. Yani mtu mmoja anapata bilioni 7 kwetu kigoma uvue samaki wa miaka 2 tena wavuvi wote wachange samaki zao, hapo bado ng'ombe bado mbuga za wanyama. Nyie masai wamebarikiwa.
Kule kwa wanyakyusa hata uuze migomba ya wilaya nzma,hupati bilioni 7.
Nduguzangu wazarsmu minazi na michungwa hupati bilioni 7, labda wa ntwara vokotosho vyao wanaweza ambulia bilioni 3.
Nyie msiichukulie poa bilioni 7.
Ila laizer alipigwa na magu angekuwa
Hata na bilioni 20, baba alikuwa mzulumati yule.
Nimewaza kama alinacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…