PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 879
- 956
Taarifa zinasema bwana Maganga alimuomba Mkurugenzi huyo wa JAMVILAHABARI wakutane wayamalize ili Gazeti lake liache kuandika kuhusiana na habari za utovu wa nidhamu ulioonyeshwa na viongozi hao wa CWT dhidi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hasan kwa kukaidi uteuzi aliowateua kuwa wakuu wa wilaya za Mbogwe na Kyerwa.
Katika ushawishi wa Maganga Kwa JAMVILAHABARI aliomba atangulize kitu kidogo wakati wanafanya mpango wa kuandaa taarifa kwa umma na kukutana wamalizane.
Maswali bado ni mengi kuhusiana na ni Nani aliyepo nyuma ya Vigogo hawa wa CWT kiasi cha kumkaidi Rais wa Nchi lakini badi wanaendelea kutumia ofisi za umma (Chama cha WALIMU)View attachment 2665460