MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,428
Akifanya mazungumzo na mtangazaji wa kipindi cha Africa Business Report ,sept 11 bibi Lerato Mbele, bilionea Richard Branson ameipongeza Air Tanzania kwa hatua kubwa iliyoifanya ya kuwa na ndege mbili katika kipindi cha muda mfupi.
Bwana Branson alidai biashara ya usafiri wa anga ni tofauti sana na watu wanavyodhani "sio ndege zote zinazotua viwanja vingi duniani ndio zinazotengeneza faida zaidi, kuna kipindi Atlantic Airlines iliyokuwa na ndege kila kona ya dunia ilikuwa inatengeneza faida ndogo ukilinganisha na AirAsia ambayo ilikuwa na ndege ambazo zilikuwa zinatua Malaysia pekee, business modal is what determines the winner,Air Tanzania should go with the no frill services" alisema.
Alidai anafuatilia karibia mashirika yote ya ndege duniani, " I know every loser and every winner in this business,name any and I can tell you whether is losing or winning"
Tycoon huyo wa Virgin American Airlines yuko barani Africa kwa ajili ya mapumziko