kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,550
- 2,381
Inasemekana huyo nabii kiuhalisia sio mwana chadema, kaja tu kutaka kujaribu bahati yake kwetu
Clip yake nimeiona twitter(Darmpya Blog on twitter), imenifurahisha mno na huyu inaonyesha ni muongeaji mzuri sana.Akiingia Bungeni, itakuwa ni shida(watu wataomba muongozo wa kiti mwanzo, mwisho).
Anakwambia: Akili kichwani, pesa mfukoni, Yesu moyoni.
Msikilizeni hapa kwenye hii clip akihojiwa:
Waliojipa kazi ya kuia CHADEMA wamefeli kwa asilimia 100, kwani watia nia ni wengi nchi nzima akiwemo huyu aliewatosa watu wa chama cha kijani akaona aje ajaribu kugombea kupitia CHADEMA,huku akidai yeye hana njaa.
Dah nikikumbuka jinsi wakina Kubenea walivyokuwa wanahudhuria misa za Gwajima huwa nacheka sana...misa za Gwajima zilirushwa live kwenye mitandao ya CHADEMA.Waswahili wana msemo wao "dalili ya kifo cha Punda ni kurusha mateke ya nguvu...."
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Peter Lijualikali apata mpinzani Kilombero naye si mwingine ni Nabii Bilionea Daniel Shilla.
Nabii Shilla ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kilombero kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA).
"Maendeleo hayana chama".
Wimbo wa Sholomwamba akimnadi Nabii Shilla ubunge Kilombero
Akimuonya Lijualikali na Gwajima
Na mwenye masikio na asikie.Shillah ni iumb hatai. Chadem msiw mnakubali kila kitu
Huyo sio gwajima mcheza picha za ngonoAmechoka kula kondoo wa bwana. Chadema mnasikitisha sana
Wanaumbuka.Achana nae wivu tu huyo. Unajua hao walizani kwa walivyoibania cdm itakosa wagombea sasa wakiwaona akina Ney wa Mitego hawaamini macho yao
atapitaHakika !
Mmmh! Baba yake ni Kamanda wa polisi (M) Mara huko,ina maana hawana uwezo wa kuwa na hela ya kula.Huyu dogo kuna kipindi walimletea zengwe wakati alipokuwa ameanza kuteka Waumini wa madhehebu mengine.Sehemu alizokuwa anakodi kwa ajili ya ibada walipigwa pini ili asiweze kufanya misa.Ndiyo maana sasa hivi anaendelea na ujenzi wa kanisa lake.Ukisema hana njaa unamaanisha nini....?? Huyu pesa katoa wapi wakati kwao hata pick up hakuna ...........hizo ni sadaka za waumini tu ......... mwambie apoe kabisa ...........yeye ni mtu wa kawaida tu........
Mmmh! Baba yake ni Kamanda wa polisi (M) Mara huko,ina maana hawana uwezo wa kuwa na hela ya kula.Huyu dogo kuna kipindi walimletea zengwe wakati alipokuwa ameanza kuteka Waumini wa madhehebu mengine.Sehemu alizokuwa anakodi kwa ajili ya ibada walipigwa pini ili asiweze kufanya misa.Ndiyo maana sasa hivi anaendelea na ujenzi wa kanisa lake.
Clip yake nimeiona twitter(Darmpya Blog on twitter), imenifurahisha mno na huyu inaonyesha ni muongeaji mzuri sana.Akiingia Bungeni, itakuwa ni shida(watu wataomba muongozo wa kiti mwanzo, mwisho).
Anakwambia: Akili kichwani, pesa mfukoni, Yesu moyoni.
Msikilizeni hapa kwenye hii clip akihojiwa:
Waliojipa kazi ya kuia CHADEMA wamefeli kwa asilimia 100, kwani watia nia ni wengi nchi nzima akiwemo huyu aliewatosa watu wa chama cha kijani akaona aje ajaribu kugombea kupitia CHADEMA,huku akidai yeye hana njaa.
Gwajima ishu sio tu utapeli