Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Clip yake nimeiona twitter(Darmpya Blog on twitter), imenifurahisha mno na huyu inaonyesha ni muongeaji mzuri sana.Akiingia Bungeni, itakuwa ni shida(watu wataomba muongozo wa kiti mwanzo, mwisho).

Anakwambia: Akili kichwani, pesa mfukoni, Yesu moyoni.

Msikilizeni hapa kwenye hii clip akihojiwa:

Waliojipa kazi ya kuia CHADEMA wamefeli kwa asilimia 100, kwani watia nia ni wengi nchi nzima akiwemo huyu aliewatosa watu wa chama cha kijani akaona aje ajaribu kugombea kupitia CHADEMA,huku akidai yeye hana njaa.

Hii na huu ndio mfano sahihi kabisa wa mihemko

CDM ni kama mwanamke asiye jiamini ambaye anashobokea wanaume na kutamba kuhusu wachumba zake na anapoumizwa anasema na kulaumu upande wa pili

Hamna mnachojiamini nacho mkakiuza, kikakubalika.mmekuwa mkipanda na kudandia majina ya watu mara Lowassa, mara Membe, mara nyalandu, kesho mkisikia labda fulani anachukua form kuchuana na JPM mtahamia wote huko.Mara mnampenda uhuru kenyata, mara odinga, mara rais wa barrick, mara ili mradi mmewekeza kuwapa promo na kushobokea watu.Hii akili haipo CCM iko kwenu wenye inferiority Complex ambao siasa mmegeuza sio hoja na ushindani bali uchungu, gubu na lawama tu

Gwajima alikuwa wenu kabisa nyie CDM kipindi anapambana na Makonda😂😂😂 mmesahau? Yuko wapi??? Au yako wapi?

Shillah unamjua? Au unapenda wanaoongea? Huwa mnafanya due diligence nyie?

Sasa wewe right handman wa mbowe una akili hizi, hao wengine wenye hulka na akili za kama wanyama wale wa mbugani lazima wakushangilie

Kesho akiwaumiza, mnakaa kimya kwa sasa you have NOTHING TO SELL OUT

Yaani hata wanawake vichaa wanazaa kwa uzazi wa mpango jamani! Sio kujiachia huku na kushoboka tu huku kesho mnalizwa, mnajazwa mimba, ukikaa wiki unapachikwa tena, unalalamika wanaume wabaya kumbe hauna akili ya kujitambua

CDM ya mwaka 2006 to 2012 haikuwa hii ya kutegemea trending news na individual, you had agenda, you threw it away, you never bothered to ask yourselves who made you to be zombies now a days, mnae na mnamwona, Wanaojitambua wanakimbia mliobaki kufaidika na 8.9b na michango ndio kutwa kucha kurusha post za kujifariji

Kama kweli kabisa kuna wana CCM wanalipwa Lumumba kwa kupost humu, anayewalipa nyie wa chadema anatoa hela ndefu maana mmejizira, mmejitoa ufahamu na mnajisahaulisha kila siku
 
Dah nikikumbuka jinsi wakina Kubenea walivyokuwa wanahudhuria misa za Gwajima huwa nacheka sana...misa za Gwajima zilirushwa live kwenye mitandao ya CHADEMA.Waswahili wana msemo wao "dalili ya kifo cha Punda ni kurusha mateke ya nguvu...."

Vipi wewe ushatia nia au unasubiri viti maalumu.?
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Peter Lijualikali apata mpinzani Kilombero naye si mwingine ni Nabii Bilionea Daniel Shilla.

Nabii Shilla ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kilombero kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA).

"Maendeleo hayana chama".

Wimbo wa Sholomwamba akimnadi Nabii Shilla ubunge Kilombero

Akimuonya Lijualikali na Gwajima

Billionea ana tembelea raum na harrier matakoya nyani billione wa zim dollars labda
 
Ukisema hana njaa unamaanisha nini....?? Huyu pesa katoa wapi wakati kwao hata pick up hakuna ...........hizo ni sadaka za waumini tu ......... mwambie apoe kabisa ...........yeye ni mtu wa kawaida tu........
 
Mmmh! Baba yake ni Kamanda wa polisi (M) Mara huko,ina maana hawana uwezo wa kuwa na hela ya kula.Huyu dogo kuna kipindi walimletea zengwe wakati alipokuwa ameanza kuteka Waumini wa madhehebu mengine.Sehemu alizokuwa anakodi kwa ajili ya ibada walipigwa pini ili asiweze kufanya misa.Ndiyo maana sasa hivi anaendelea na ujenzi wa kanisa lake.
 
Shillla , For Mp, our real prophet
 
Clip yake nimeiona twitter(Darmpya Blog on twitter), imenifurahisha mno na huyu inaonyesha ni muongeaji mzuri sana.Akiingia Bungeni, itakuwa ni shida(watu wataomba muongozo wa kiti mwanzo, mwisho).

Anakwambia: Akili kichwani, pesa mfukoni, Yesu moyoni.

Msikilizeni hapa kwenye hii clip akihojiwa:

Waliojipa kazi ya kuia CHADEMA wamefeli kwa asilimia 100, kwani watia nia ni wengi nchi nzima akiwemo huyu aliewatosa watu wa chama cha kijani akaona aje ajaribu kugombea kupitia CHADEMA,huku akidai yeye hana njaa.

Tatizo lenu mmezoea kupokea watu mwishoni...hata kama ni maamluki, wapo waliokijenga chama kwa muda mrefu sana hamtawaona kama wanafaa, ila huyu kaja na mbwembwe nyingi mnamshabikiaaaaaa....kesho akiwahama mtachongaaaaa.......tukiitwagwa mazwazwaaa tunaksirikaaaa.
 
CHADEMA ipo kwenye mioyo ya watz wkt ccm ipo kwenye mioyo ya polisi na tume ya uchaguzi....
 
...duuuh,

Ukitaka kuuza utumbo usiogope inzi= ukitaka kuingia ufalme wa shetani usiogope dhambi.

Over
 
Back
Top Bottom