franckkimm
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 441
- 854
Wakuu salaam
Ni almost miaka mitano namfuatilia huyu jamaa(kijana mwenzangu) anaitwa Fredrick marwa almaarufu (iam_marwa kule YouTube na Instagram)
Huyu jamaa Ni mkenya anatokea Kijiji Cha Nyabohanse kipo Kenya karibu na mpaka wa Kenya na Tz....Ni mkuria ambaye yupo upande wa kenya nafikirii nimeeleweka
Kazaliwa katika familia maskini ila kupitia KAMERA yake....imembadilisha kuwa bilionea na familia yake....pia imempatia heshima kubwa Sanaa kijijini kwake na kuwa inspirational kwa Kijiji chake na Kenya kiujumla
ALIFANYAJE??
Huyu jamaa kazi anayofanya Ni vlogging/YouTuber....na mainly anachokifanya Ni kuzunguka sehemu mbali mbali za duniani kuonesha cultures zinazo patikana kwenye nchi mbali mbali kuanzia;mavazi,vyakula,mitindo ya maisha,thamani ya kuishi nk n.k....KIUFUPI ANAONESHA MAISHA YAKE YA KILA SIKU AKIWA NCHI MBALI MBALI DUNIANI
Alianza kwa shida kidogo mwanzoni....ila baada ya muda akaanza kupata connection nyingi na kupata connection nyingi kupitia youtube
Huyu jamaa ukiona anachofanya unaweza kuona Ni ujinga ila aisee anatengeneza pesa Sanaa Sanaa.....ana anakuambia 99% ya maisha anategemea YouTube na ndio inayo muingizia hizo pesa zotee kiufupi jamaa ni young billionaire kupitia YouTube hajaajiriwa na mtu
Anachokifanya KILA siku lazima apost video YouTube at least 1 hour kuendelea....akionesha content anayoifanya kwa siku hiyo
Pale kijijini kwake kawasaidia wengi....kawajengea watu wengi nyumba na sehemu za kuishi.....kawaongoza wengi kufanya vlogg Kama yeye na ndani ya muda mfupi Sanaa within 3months tayari Ni mamilionea....Ni hatari Sanaa
Mpk saivi anafanya bonge la uwekezaji apo kijijini kwao kanunua eneo kubwa Sanaa la kufuru anatengeza Villa moja ya kisasa kubwaa Sanaa....na uhakika itamtengenezea hela ndefu sanaaa
Ila huyu jamaa Ni genius aisee kamfuatilieni YouTube mtaelewa zaidiii....Acha niishie hapa.....nakaribisha mawazo na elimu zaidi juu ya hi kazi ya vlogging najua kuwa wajuzi wengi humu....KARIBUNI!!!