Uchaguzi 2020 Bilionea Daniel Shilla wa CHADEMA atakiwa kuripoti polisi Ifakara baada ya kuandamana bila kibali

Kwani huyo ni mtoto wa Malima?
huyo
Screenshot_20200706-124136.jpg
 
Hii ndio Tanzania bana, bwana mdogo ameasha anza kuundiwa zengwe asubuhi mapema.
Hilo zengwe amejiundia mwenyewe...watu wanawanatangaza Nia bila shamra shamra lakini yeye anafanya maandamano Kama siyo ujuha ni Nini Sasa??
 
Bilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi.

Shilla ametia nia ya ubunge jimbo la Kilombero na jana alichukua fomu na kuzunguka na wapambe mjini humo.

Maendeleo hayana vyama!

Pia soma > Uchaguzi 2020 - Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Acha kumsingizia,hajawahi kujiita mtume!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bilionea wa CHADEMA?Maana yake ni nini,ungeweza kuandika vizuri tu,hakuna bilionea wa CHADEMA,CCM,ACT,TADEA,TLP wala cuf.Tutumie jukwaa vizuri,kizazi kisichokuwa na chuki wala uchonganishi ni faida kwa Taifa.
Kaandika wapi billionea wa CDM. Au na ww ni Mataga?Kwa hiyo tukisema kwa mfano; Mwalimu Nyerere wa Chama Cha Mapindunzi.Halafu aibuke mtu aseme hakujawahi kuwa na Mwalimu wa CCM,ACT,CUF n.k UTAMWELEWAJE...
Au wakisema Jembe John Pombe Magufuli wa CCM apata asilimia "100" ya kura zote,halafu aibuke mtu aseme hakuna Jembe la CCM,CDM,CUF n.k
Elewa tu huyo dogo anajiita Billionea kama jina au cheo cha kujipa,hatujui kama anazo hizo hela au lah....
 
Kaandika wapi billionea wa CDM. Au na ww ni Mataga?Kwa hiyo tukisema kwa mfano; Mwalimu Nyerere wa Chama Cha Mapindunzi.Halafu aibuke mtu aseme hakujawahi kuwa na Mwalimu wa CCM,ACT,CUF n.k UTAMWELEWAJE...
Au wakisema Jembe John Pombe Magufuli wa CCM apata asilimia "100" ya kura zote,halafu aibuke mtu aseme hakuna Jembe la CCM,CDM,CUF n.k
Elewa tu huyo dogo anajiita Billionea kama jina au cheo cha kujipa,hatujui kama anazo hizo hela au lah....
Bilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi.

Shilla ametia nia ya ubunge jimbo la Kilombero na jana alichukua fomu na kuzunguka na wapambe mjini humo.

Maendeleo hayana vyama!

Mimi sio MATAGA,Naamini pia mwalimu wangu wa Kiswahili Mwl Moshi alinifundisha vyema kuelewa lugha,sasa ukisoma hapo nadhani unaweza kuona na kuelewa.
 
Pale juu imeandikwa Bilionea Daniel Shila .... Chadema SIO Bilionea wa Chadema ....Daniel Shila. Kama hizo sentensi zina maana sawa basi uko sawa.
 
Back
Top Bottom