Nabii Daniel Shilla adai amefungiwa kanisa lake baada ya kumtabiria ushindi mgombea wa CHADEMA Kinondoni

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Nabii Shilla ambaye ni Mchungaji wa haya makanisa madogo madogo, amedai kanisa lake limefutiwa usajili baada ya yeye kutabiri kupitia facebook kwamba mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA pale Kinondoni atashinda.

Nabii Shilla amesema yeye aliongozwa na Mungu kutoa unabii ule hivyo haogopi chochote. Amedai kuwa ametakiwa kuripoti kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama mjini Dodoma kesho, hivyo atakwenda kuitikia wito hata kama ni kwa miguu.

Chanzo: Ayo Tv
 
Nabii Shilla ambaye ni mchungaji wa haya makanisa madogo madogo amedai kanisa lake limefutiwa usajili baada ya yeye kutabiri kupitia facebook kwamba mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chadema pale kinondoni atashinda. Nabii Shilla amesema yeye aliongozwa na mungu kutoa unabii ule hivyo haogopi chochote. Amedai kuwa ametakiwa kuripoti kwenye ofisi ya msajili wa vyama mjini Dodoma kesho, hivyo atakwenda kuitikia wito hata kama ni kwa miguu. Source Ayo Tv!
Tukumbuke ni muweza wa yote. Kwa hiyo Mtumishi wa Mungu anatumika kwa ajili yetu ndo maana tunaenda makanisani kuombewa au kuomba kuombewa.
Ninaamini wanaowadhihaki majibu yao yapo na huwa hayachelewi
 
Huyu afungiwe tuu kwakweli amezidi mauzauza nabii gani mwenye sifa za kujionesha na mahela? Wapige marufuku makanisa yanayoongozwa na watu wasiosomea izokazi kwa misikiyi saw a lkn makanisa wahubiri wawe na vyeti
 
MAMBO NI
 
Attachments

  • IMG_1521209187.586806.jpg
    IMG_1521209187.586806.jpg
    24.3 KB · Views: 64
  • IMG_1521209198.547209.jpg
    IMG_1521209198.547209.jpg
    81.3 KB · Views: 56
TAHADHARI:KUNA BAADHI YA WATU WAMEKUWA WAKITUMIA LUGHA CHAFU ILI WAKIJIBIWA MODS WAFUTE THREADS SO NI MUHIMU KUWATAMBUA NA KUWAPUUZA WATU HAO.LB 7000
 
Nabii Shilla ambaye ni mchungaji wa haya makanisa madogo madogo amedai kanisa lake limefutiwa usajili baada ya yeye kutabiri kupitia facebook kwamba mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chadema pale kinondoni atashinda. Nabii Shilla amesema yeye aliongozwa na mungu kutoa unabii ule hivyo haogopi chochote. Amedai kuwa ametakiwa kuripoti kwenye ofisi ya msajili wa vyama mjini Dodoma kesho, hivyo atakwenda kuitikia wito hata kama ni kwa miguu. Source Ayo Tv!
Huyu ni nabii au mwanachama wa chadema?,nabii wa magumashi ,zama za mwisho
 
kumsingizia mwanaume mwenzako anableed sio lugha chafu?

bleed
bliːd/Submit
verb
1.
lose blood from the body as a result of injury or illness.
"the cut was bleeding steadily"
synonyms: lose blood, haemorrhage
"his arm was bleeding badl
 
Back
Top Bottom