Bilionea Bill Gates na uongo wa Taifa

Bilionea Bill Gates na uongo wa Taifa

Mmmh ndo maana hata mkiolewa Mnaachika ..... Unamuombeaje mwenzio mabaya ??? .... Tenda wema nenda zako ...hayo ni mawazo yake lakin mawazo yako umeyatolea sijui wapi hayahusiani kabisa na mada .... Freedom of speech jf

Don't put all egg on one Basket
Daaah sio poa acha kumuandama Dada wa watu

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Yapo mambo nikiwaangalia na kuwasikiliza waswahili wenzangu nabaki kucheka na kujionea huruma mimi na wanizungukao... Nchi yangu imekuwa nchi ya ngano za vibarazani na uongo wa mchana kweupe ambao hata mmiliki wa uongo yule apewaye jina baya japo kimsingi simbaya yule aitwaye shetani anatuogopa...

Bill Gates kaja kuwekeza Tanzania? Bill Gates kaja kwakuwa anaipenda Tanzania saaaanaaa? Daah my God... Uwekezaji ni sayansi inayouhusu utafiti na faida sio siasa, ni jambo mtambuka linalozingatia sera za taifa unalotaka kuwekeza na hulka za wanamaamuzi wa eneo husika. Naipenda sana nchi yangu, lakini uongo huu hauwezi kuwa tiketi ya uzalendo... Uzalendo wa aina hii siutaki kabisa.

Ulale pema peponi bilionea Faustine Mrema, ulikuwa alama ya ukwasi Duniani, uliitambulisha nchi yetu machoni pa dunia, wewe ndio umewaleta mataifa na mahasidi pamoja katika ardhi ya Tanzania.

Na Yericko Nyerere
View attachment 564818 View attachment 564819


TOKA UMEPATA MISUKOSUKO YA KESI KICHWA CHAKO KIMEPUNGUKIWA SANA UWEZO WAKUTOA HOJA INAYO JITOSHELEZA ,SASA HAPA HOJA YAKO NINI? KAMA HAKUJA KUWEKEZA KAMA INAVYODAIWA WEWE UMEGUNDUA ALIKUJA KUFANYA NINI? TUFAHAMISHE ILI NA SISI TUPATE NGUVU YA KUWASUTA!!! VINGINEVYO Mmmmmmmh!!!
 
Jibu nilichouliza mkuu

Ujinga akipewa nafasi hujiona ana akili sana! Wewe umeandika vingapi unaweza ukawa Hana jarida huna! Bill gates sawa kwetu ni siasa wakati kwake wala hafanyi siasa au mapenzi na Tanzania.
 
Back
Top Bottom