ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,998
- 2,242
Kwaiyo hapo unaona umeandika la maana saaaaana?Kama una macho na huoni, una masikio na husikii, una pua na hunusi, wewe ni mfu
Unabwabwaja tu pasi na hoja ya msingi
Kwaiyo hapo unaona umeandika la maana saaaaana?Kama una macho na huoni, una masikio na husikii, una pua na hunusi, wewe ni mfu
wa kujisifia ujinga tu hawajambo nyumbu hawaOne love mkuu
Yapo mambo nikiwaangalia na kuwasikiliza waswahili wenzangu nabaki kucheka na kujionea huruma mimi na wanizungukao... Nchi yangu imekuwa nchi ya ngano za vibarazani na uongo wa mchana kweupe ambao hata mmiliki wa uongo yule apewaye jina baya japo kimsingi simbaya yule aitwaye shetani anatuogopa...
Bill Gates kaja kuwekeza Tanzania? Bill Gates kaja kwakuwa anaipenda Tanzania saaaanaaa? Daah my God... Uwekezaji ni sayansi inayouhusu utafiti na faida sio siasa, ni jambo mtambuka linalozingatia sera za taifa unalotaka kuwekeza na hulka za wanamaamuzi wa eneo husika. Naipenda sana nchi yangu, lakini uongo huu hauwezi kuwa tiketi ya uzalendo... Uzalendo wa aina hii siutaki kabisa.
Ulale pema peponi bilionea Faustine Mrema, ulikuwa alama ya ukwasi Duniani, uliitambulisha nchi yetu machoni pa dunia, wewe ndio umewaleta mataifa na mahasidi pamoja katika ardhi ya Tanzania.
Na Yericko Nyerere
View attachment 564818 View attachment 564819
una matatizo wewe sio bureKama una macho na huoni, una masikio na husikii, una pua na hunusi, wewe ni mfu
tumeshakuwa wa viwandaMpaka kajiunga Insta akiwa Tanzania! Sifa iliyoje kwa nchi yetu ya viwanda!!!
Mmmh ndo maana hata mkiolewa Mnaachika ..... Unamuombeaje mwenzio mabaya ??? .... Tenda wema nenda zako ...hayo ni mawazo yake lakin mawazo yako umeyatolea sijui wapi hayahusiani kabisa na mada .... Freedom of speech jfpolisi wakikukamata tena naomba wasikupe dhamana . alosema bg kaja kuwekeza tz nani.anatoa tu msaada haitaji kitu chochote
Mimi nilijiunga twita nikiwa Urusi (VKontakte) lakini haijawahi kuwa habari.Mpaka kajiunga Insta akiwa Tanzania! Sifa iliyoje kwa nchi yetu ya viwanda!!!
Na kama hujaelewa jambo ni bora kukaa kimya tu
Umeelewa nini katika andiko hili binti?polisi wakikukamata tena naomba wasikupe dhamana . alosema bg kaja kuwekeza tz nani.anatoa tu msaada haitaji kitu chochote
Kwa sasa huna lolote zaidi ya Ukuwadi wa kuwatetea Wachaga ili angalau mkono uende kinywaniYapo mambo nikiwaangalia na kuwasikiliza waswahili wenzangu nabaki kucheka na kujionea huruma mimi na wanizungukao... Nchi yangu imekuwa nchi ya ngano za vibarazani na uongo wa mchana kweupe ambao hata mmiliki wa uongo yule apewaye jina baya japo kimsingi simbaya yule aitwaye shetani anatuogopa...
Bill Gates kaja kuwekeza Tanzania? Bill Gates kaja kwakuwa anaipenda Tanzania saaaanaaa? Daah my God... Uwekezaji ni sayansi inayouhusu utafiti na faida sio siasa, ni jambo mtambuka linalozingatia sera za taifa unalotaka kuwekeza na hulka za wanamaamuzi wa eneo husika. Naipenda sana nchi yangu, lakini uongo huu hauwezi kuwa tiketi ya uzalendo... Uzalendo wa aina hii siutaki kabisa.
Ulale pema peponi bilionea Faustine Mrema, ulikuwa alama ya ukwasi Duniani, uliitambulisha nchi yetu machoni pa dunia, wewe ndio umewaleta mataifa na mahasidi pamoja katika ardhi ya Tanzania.
Na Yericko Nyerere
View attachment 564818 View attachment 564819
Kweli wewe ni mfu napoteza muda kukujibu endelea na ufu wakoNa kama hujaelewa jambo ni bora kukaa kimya tu
una matatizo wewe sio bure[/QUOT]
Mimi tena?
Wasalimie uendako
Yeah upo sahihi kabisa kwa bahati mbaya huna hiyo kitu mkuuYaani wewe jamaa ungekua na IQ kubwa ungesumbua sana
Ha ha ha.Mimi nilijiunga twita nikiwa Urusi (VKontakte) lakini haijawahi kuwa habari.