Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
Yapo mambo nikiwaangalia na kuwasikiliza waswahili wenzangu nabaki kucheka na kujionea huruma mimi na wanizungukao... Nchi yangu imekuwa nchi ya ngano za vibarazani na uongo wa mchana kweupe ambao hata mmiliki wa uongo yule apewaye jina baya japo kimsingi simbaya yule aitwaye shetani anatuogopa...
Bill Gates kaja kuwekeza Tanzania? Bill Gates kaja kwakuwa anaipenda Tanzania saaaanaaa? Daah my God... Uwekezaji ni sayansi inayouhusu utafiti na faida sio siasa, ni jambo mtambuka linalozingatia sera za taifa unalotaka kuwekeza na hulka za wanamaamuzi wa eneo husika. Naipenda sana nchi yangu, lakini uongo huu hauwezi kuwa tiketi ya uzalendo... Uzalendo wa aina hii siutaki kabisa.
Ulale pema peponi bilionea Faustine Mrema, ulikuwa alama ya ukwasi Duniani, uliitambulisha nchi yetu machoni pa dunia, wewe ndio umewaleta mataifa na mahasidi pamoja katika ardhi ya Tanzania.
Na Yericko Nyerere