OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
Sasa si ulitaje Ili owe Rahisi kulipata?Ni wiki hii tu kumefanyika mabadiliko ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, leo imeripotiwa kuna bilion 100 zimeyeyuka BOT.
Kuna gazeti limeripoti ngoja litafutwe.