MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,475
Kweli mkuuKuna haja ya adhabu za kupiga watu risasi hadharani,vinginevyo hatutafika
Kweli mkuuKuna haja ya adhabu za kupiga watu risasi hadharani,vinginevyo hatutafika
Nami naskia hivyo mkuu, cha muhimu ni uwezo tu sio lazima awe na PhD.Nasikia huyu mgeni aliyewekwa ni mtoto wa Dada yake Mkuu.
Nimekupa Like mwanangu!!
!
scape goat....visingizio kibao. Hii ya majipu ishachuja. Tunataka viwanda Ajira Maisha nafuu Elimu bora Afya Miundombinu haya mapichapicha ya kuhamia Dodoma sijui BOT sijui ufala gani tumechoka.
!
!
scape goat....visingizio kibao. Hii ya majipu ishachuja. Tunataka viwanda Ajira Maisha nafuu Elimu bora Afya Miundombinu haya mapichapicha ya kuhamia Dodoma sijui BOT sijui ufala gani tumechoka.
Duh wewe sasa unamjaribu Mkulu na yeye hajaribiwe mambo ya ajira,Majipu...... yakichuja tunaibua lingine la kubadilisha note haaa haaa.Uongozi unataka matumizi ya akili,weledi,ubunifu,uchapakazi,uadilifu na mikakati ya muda mrefu na mfupi.Uongozi si kazi ya mtu mmoja bali timu ya watu wengi wanaoelewana na kujua taifa linaelekea wapi.
Naiona serekali ya awamu ya tano ikikosa vitu vingi sijui ni bahati mbaya au ndio mipango yenyewe.Serekali ya matamko,kufukuzana kazi,kutoa kauli zinazokindana na katiba eg Mkuu wa wilaya kutangaza hali ya hatari katika wilaya yake,Mkuu wa Mkoa kutoa kibali kwa askari polisi kuwaadhibu watuhumiwa halafu yeye atajibu ni baadhi ya kauli zinazonichanganya na kuniacha na maswali mengi bila majibu.
Mungu ibariki Tanzania ya Mwl Nyerere inaelekea kukosa viongozi wenye maono,dira,mwelekeo......
Duuuh mzee wa watu wanaanza kumnyanyasa, labda wanataka Kumfunga halafu wamnyang'anye mke
Nasikia huyu mgeni aliyewekwa ni mtoto wa Dada yake Mkuu.
Ndio sifa zenyewe hizo.kama anasifa aachwe kwakuwa ni mtoto wa mkulu acha hizo
Aya sasa maajabu, kufichuliwa wezi tena wa bil 100 mnachukia, mwingine anachukuliwa atua kwa kukwepa kodi zaidi ya 1.3 bilion nalo mnasema ni siasa. Alafu mnataka Tanzania ya Viwanda. Ivi tutafika kweli?!
!
scape goat....visingizio kibao. Hii ya majipu ishachuja. Tunataka viwanda Ajira Maisha nafuu Elimu bora Afya Miundombinu haya mapichapicha ya kuhamia Dodoma sijui BOT sijui ufala gani tumechoka.