Mbona sasa hutaji Waislamu?Al Watan wapi nimesema maneno hayo? Hii ni historia ya waliopigania uhuru wa Tanganyika. Hayo mengine mimi siyajui.
Al Watan nimekuosoma.Mbona sasa hutaji Waislamu?
Utapigania vipi uhuru wa Tanganyika na kukumbatia dinibinayokutiabutumwa kwa kukuambia ukisali lazima uisujudie Maka?
Ukikubali masharti ya hiyo dini wewe Muafrika utakuwa huru kimawazo kweli?
Uislamu ni utumwa. Neno "Islam" linakutakabuwe mtumwa wa Allah.
Allah hayupo. Ni Mungukatungwa tu na waarabu.
Kwa maanabnyingine ukikubali kuwa Muislamu, unakubali kuwa mtumwa wa utamaduni wa Waarabu.
Ndiyobmaana watu wanasomeshwa Quran Kiarabu hata hawaelewi wanasoma nini.
Ndiyo maana Waislamu wanasali wakielekea Maka.
Sasa utasemaje watu wamepigania uhuru wa Tanganyika ili tu kuubadilisha na uhuru huu nabutumwa mbaya sana wa kimawazo wa Uislamu?
Muislamu si mtu huru. Ni mtumwa siku zote.
Jina tu "Islam" maana yake ni kukubali kuwa mtumwa. You submit yourself to another.
mleta hoja unachobisha ni nini watu tunakuambia hapa unatuletea udini unabisha .kama hoja yako ilikuwa ni kutujulisha wanaharakati waliopigania sisi kupata Uhuru,basi hoja yako ungejikita kutuelezea wasifu wao na namna alivyochangia katika harakati.Mazungumzo yale na Mzee Waikela ndiyo yaliyotengeneza sehemu ya tatu katika
kitabu cha Abdul Sykes na sehemu hiyo nikaipa jina, ''Njama Dhidi ya Uislam (1961 -
1970).''
Ni wapi ulikoyatoa haya yote? nitajie kitabu na kurasa nami nipite humoMbona sasa hutaji Waislamu?
Utapigania vipi uhuru wa Tanganyika na kukumbatia dini inayokutia utumwa kwa kukuambia ukisali lazima uisujudie Maka?
Ukikubali masharti ya hiyo dini wewe Muafrika utakuwa huru kimawazo kweli?
Uislamu ni utumwa. Neno "Islam" linakutaka uwe mtumwa wa Allah.
Allah hayupo. Ni Mungu katungwa tu na waarabu.
Kwa maana nyingine ukikubali kuwa Muislamu, unakubali kuwa mtumwa wa utamaduni wa Waarabu.
Ndiyo maana watu wanasomeshwa Quran Kiarabu hata hawaelewi wanasoma nini.
Ndiyo maana Waislamu wanasali wakielekea Maka.
Sasa utasemaje watu wamepigania uhuru wa Tanganyika ili tu kuubadilisha na uhuru huu na utumwa mbaya sana wa kimawazo wa Uislamu?
Muislamu si mtu huru. Ni mtumwa siku zote.
Jina tu "Islam" maana yake ni kukubali kuwa mtumwa. You submit yourself to another.
Kabla ya kuelekea Maka walikuwa waelekea Jerusalem. Ujinga huohuo.Ni wapi ulikoyatoa haya yote? nitajie kitabu na kurasa nami nipite humo
Laa ikiwa huna basi acha tabia ya kusikiliza maneno ya watu kisha weye ukayafanya reference katika mazungumzo yako. Huwezi kuichalenge dini yeyote sikwambii Uislamu bila kwanza kukaa darasani hata ukajua kuwa kabla ya Waislamu kuelekea Makka walikua wanaelekea wapi na kwanini sasa wanaelekea huko wanakoelekea
Boywise,Ni wapi ulikoyatoa haya yote? nitajie kitabu na kurasa nami nipite humo
Laa ikiwa huna basi acha tabia ya kusikiliza maneno ya watu kisha weye ukayafanya reference katika mazungumzo yako. Huwezi kuichalenge dini yeyote sikwambii Uislamu bila kwanza kukaa darasani hata ukajua kuwa kabla ya Waislamu kuelekea Makka walikua wanaelekea wapi na kwanini sasa wanaelekea huko wanakoelekea
mchango huu hautofautiani na aliyeulizwa cheti akajibu madawa ya kulevya!!! kumbe u alwatan uko namna nyingi!!πππTena dini zenyewe bora hata zingekuwa zetu kweli.
Zote za kuletewa na meli.
Zote zina mambo tofauti sana na tamaduni zetu.
Na tumezibugia kama mtu mwenye njaa kwenye dhifa.
πππ unakataa yaliyokuja na meli unaleta yaliyokuja na meli!! kama si mahaba yaliyokithiri basi kuna jambo kubwa nyuma limejifichaKabla ya kuelekea Maka walikuwa waelekea Jerusalem. Ujinga huohuo.
Kasome "The Philosophy of Religion: An Anthology".
Kasome Part 3
PART III: THE PROBLEM OF EVIL AND OTHER ATHEOLOGICAL ARGUMENTS. David Hume: "The Argument from Evil." Leibniz: "Theodicy." John Hick: "Evil, Theodicy, and Soul-Making." EdwardMadden and Peter Hare: "A Critique of Hick's Soul-Making Theodicy." John Mackie: "The Problem of Evil Proves Atheism." Alvin Plantinga: "The Free Will Defense." William Rowe: "The Inductive Argument from Evil Against the Existence of God." Sigmund Freud: "The Future of an Illusion." Paul Draper: "Evolution and the Problem of Evil." Bibliography.
Kasomekwa nini mUngu huyu wa Wakristo na Waislamu, mwenye uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote, ni wa uongo tu,hawezi kuwepo,kwa sababu dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.
Kisha uje tuendelee kujibizana baada ya wewe kumaliza kusoma hayo.
Kamakweli unataka kujua habari za vitabu.
Unakataa kwamba hizi dini ni za uongo?mchango huu hautofautiani na aliyeulizwa cheti akajibu madawa ya kulevya!!! kumbe u alwatan uko namna nyingi!!πππ
Nimekuuliza swali jibu kwanza kabla yakuanza kurukaruka kama bisi kwenye kikaango! Nilijua unakuja na quote ya kwako nimeshangaa umekuja na yaliyokuja na meli!!! Ukiwa muongo usiwe msahaulifu mkuu!Unakataa kwamba hizi dini ni za uongo?
Unakataa kwamba hazijaletwa kwetu na meli?
Unafikiri huyo msomi wenu Mohamed Said alivyokubali yaishe alikuwa mjinga ?
Mohamed Said.Boywise,
Nakusihi usimame hapo hapo ulipofika panatosha hapana tija katika mjadala huu.
Muislam unatakiwa ujiweke mbali na yeyote anaeleta yasiyofaa katika dini ya Allah.
Huu ulikuwa mjadala wa historia ya Bilal Rehani Waikela ghafla umebadilishwa na
kuwa kitu kingine.
Nakusihi usimjibu.
Haya nikuambiayo ni katika mafunzo mema na akida njema za waja wema waliotangulia.
Wewe hata swali hulijui ni nini utajua kama umeniuliza swali au umejiharishia tu?Nimekuuliza swali jibu kwanza kabla yakuanza kurukaruka kama bisi kwenye kikaango! Nilijua unakuja na quote ya kwako nimeshangaa umekuja na yaliyokuja na meli!!! Ukiwa muongo usiwe msahaulifu mkuu!
Unafikiri akili ikishakuwa mgando unaweza kuona swali au maswali? Inatosha nimetambua uwezo wako wa kufikiri!!! Huwezi kujibu usichokaririshwa acha kuhemka!! πππWewe hata swali hulijui ni nini utajua kama umeniuliza swali au umejiharishia tu?
Swali uliloniuliza liko wapi?
Hapo ulichofanya ni kugundua kwamba huwezi kunionyesha hilo swali, kwa sababu halipo.Unafikiri akili ikishakuwa mgando unaweza kuona swali au maswali? Inatosha nimetambua uwezo wako wa kufikiri!!! Huwezi kujibu usichokaririshwa acha kuhemka!! πππ
zingatia hapo bold
Jifurahishe kibashitebashite!πππHapo ulichofanya ni kugundua kwamba huwezi kunionyesha hilo swali, kwa sababu halipo.
Sasa unasepa kiaina.
Ungekuwa mtu mwenye kuweza kutambua uwezo wangu wa kufikiri usingekuwa mtu wa kufyata mkia kirahisi hivi na kukimbia kitu rahisi kama kuipa kauli yako nguvu kwa kutoa ushahidi.
Umesema umeniuliza swali.
Nimekuuliza swali liko wapi? Umeshindwa hata kulionyesha hilo swali.
Wewe ni muongo. Unasema umeuliza swali wakati hujauliza. Wakati huwezi kututhibitishia kwamba umeuliza.
Kwa nini ukisema lolote mtu yeyote akuamini?
Umesema umeuliza swali ambalo hata huwezi kulionyesha liko wapi.Jifurahishe kibashitebashite!πππ
Hoja iliyo mezani Bilali Waikela ni nani?
Shukran.Boywise,
Nakusihi usimame hapo hapo ulipofika panatosha hapana tija katika mjadala huu.
Muislam unatakiwa ujiweke mbali na yeyote anaeleta yasiyofaa katika dini ya Allah.
Huu ulikuwa mjadala wa historia ya Bilal Rehani Waikela ghafla umebadilishwa na
kuwa kitu kingine.
Nakusihi usimjibu.
Haya nikuambiayo ni katika mafunzo mema na akida njema za waja wema waliotangulia.
Boywise,Shukran.