mkuu, ni kweli unachosema,,, ila kwa tabia za kishenzi za bwan mdogo zzk itabid iwe hyvo hakuna kuoneana aibu tena, nina imani cc tukibadilka kitabia ustaarabu utakuwepo, zzk hafai anatakiwa aende sokoni kuuza nyanya na siyo kufanya siasa za kiafithina, uhaini na unafiki wa hali ya juu.
sema 'bila chadema na sioo bila zitto.Acheni kujaza forum kwa ajili ya mtu mmoja. Zitto amefanya mambo mazuri kwa muda mrefu sasa kukosea ni hulka ya binadamu angalieni mnayemkosoa sana nanyi mmefanya nini. Siasa safi Tz hakuna tena. Kuchafuana ndo dili maisha yanazidi kuwa hatari kila kukicha afadhali ya jana.