Bila Yanga kucheza final CAFCCL, Simba asingefika huko

Sema msimu huu huko umamani cup timu ni dhaifu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Msimu wenu walijaa viande...
Kwanza kwanza picha linaanza na wale wasudani maskini wakaja na bus wako hoii hata hotel ya kufikia hawana...
Mkawakuta Marumo ipo dhaifu hali ikashuka na daraja...
Mkaja mkawakuta wale waaarabu CRB nao wamepotea kwny ramani hata mshindano haya hawapo...
Mkaja mkawakuta fainali wale waarabu wenu wakawatoa kamasi ila wangekutana na moto wa mnyama wangeungua...
In short sfar yenu ilikua kama mnateleza mabwani kwenu pale jangwani...
 
Utopolo wanafanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa yanayofanyika viwanja vya Gombani Pemba
Vipi bila Yanga kucheza fainali ya kombe Muungano.

Simba angefika huko fainali ya kombe la Muungano?

Kwa vile huu uzi haujaanzishwa na JK na Mzee Manara. Sina shaka na akili ya mleta uzi
 
Ebu fuatilia vzr

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hata kombe la muungano Simba asingefika fainali, Yanga pia msingefika fainali.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…