Kauli za wakosaji hizo. kikombe kikija watasemaje sasa?Ahsante Yanga kwa kuonyesha mwanga wa Taifaaa ...
Pamoja na kuwa mchambuzi maarufu hapa jamii forum pia mwanachama wa Simba ....ila nakubali kuwa Yanga walituchongea njia ya kwenda final......hivyo tumejifunza mengi Kwa Yanga mfano
1. Kukaza ugenini....Simba always ilikuwa mbovu ugenini....lakini Baada ya Yanga ku prove inawezekana kukaza ugenini.... it's became a foundation to Simba to gain confidence
All in all..... Asanteni Yanga Kwa kuchonga njia...japo tunajua kombe hatubebi mbele ya waarabu...tutaishia mlipoishiaView attachment 3318438
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Bado Yanga ime play part kubwa ....as a real rollmodelKauli za wakosaji hizo. kikombe kikija watasemaje sasa?
Ime play vip na nn? Imewasaidiaje simba kufikia walipo fika?Bado Yanga ime play part kubwa ....as a real rollmodel
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ime share experience Kwa Simba ...Kwamba haya mambo yanawezekanaIme play vip na nn? Imewasaidiaje simba kufikia walipo fika?
Ime share vip hiyo experience?Ime share experience Kwa Simba ...Kwamba haya mambo yanawezekana
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ukifikiria kidg...utaelewa... in short Yanga umetoa motivation Kwa simbaMtoa mada naona umekosa kazi ya kufanya, nakusihi ukalale tena maana hoja yako haina mbele Wala nyuma
Yaaah mkuu.yanga.wapo kumwye michuano ya kizalendoNyie tulieni hapo gombani pemba kwenye michuano yenu ya kimataifa na kiingereza chako hicho cha hapa na pale
Utakuwa ni uchawi...kiimizwa na mafanikio ya mdg akoNi kama vile utopolo mmechanganyikiwa
Ime set expectations ambazo hata Simba wmetamani kuzifikaIme share vip hiyo experience?
Ni mara ya kwanza simba kufika hapo?Ime set expectations ambazo hata Simba wmetamani kuzifika
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yaaah ni furaha kubwa kuona dg anafanikiwaKichaka Walichokuwa Wanajificha Kimefyeka
Sasa Wanatapatapa Kila Neno Haa
Yaaah unless tunazungumzia abiola cupNi mara ya kwanza simba kufika hapo?