Tuacheni ujuha na ushabiki. Ikulu ni sehemu nyeti kwa nchi yoyote. Juzi ITV walikuwa wanazunguka maeneo mbalimbali ndani ya Ikulu wakiwa live kila mtu anaona lazima tuwe wakweli haikuwa sahihi ki usalama wa nchi yoyote. Mimi nakubaliana na hoja kukiwa na tukio lolote vyombo vya habari viombe kibali vipewe mwongozo ni maeneo gani wanaruhusiwa kurusha live. Siyo kila eneo linarushwa live kila mtu anaona. Tusijitoe ufahamu juu ya usalama wa nchi kana kwamba hatuelewi kwamba usalama wa nchi yoyote kitovu chake ni Ikulu
Well said mkuu, hata mimi kitendo cha ITV kilinishangaza sana!!!Tuacheni ujuha na ushabiki. Ikulu ni sehemu nyeti kwa nchi yoyote. Juzi ITV walikuwa wanazunguka maeneo mbalimbali ndani ya Ikulu wakiwa live kila mtu anaona lazima tuwe wakweli haikuwa sahihi ki usalama wa nchi yoyote. Mimi nakubaliana na hoja kukiwa na tukio lolote vyombo vya habari viombe kibali vipewe mwongozo ni maeneo gani wanaruhusiwa kurusha live. Siyo kila eneo linarushwa live kila mtu anaona. Tusijitoe ufahamu juu ya usalama wa nchi kana kwamba hatuelewi kwamba usalama wa nchi yoyote kitovu chake ni Ikulu
Hii hii kiongozi, tujivunie tu ya magogoni vile ya Obama sio levo yetu.Unaongelea Ikulu hii ya magogoni ambako CIA wanaijuwa kuliko ikulu yao ya Marekani?
Unaongelea Ikulu hii ya magogoni ambako CIA wanaijuwa kuliko ikulu yao ya Marekani?
Basi Kikwete alikuwa dhaifu kama alikuwa anaruhusu live coverage bila taarifa.
Tuacheni ujuha na ushabiki. Ikulu ni sehemu nyeti kwa nchi yoyote. Juzi ITV walikuwa wanazunguka maeneo mbalimbali ndani ya Ikulu wakiwa live kila mtu anaona lazima tuwe wakweli haikuwa sahihi ki usalama wa nchi yoyote. Mimi nakubaliana na hoja kukiwa na tukio lolote vyombo vya habari viombe kibali vipewe mwongozo ni maeneo gani wanaruhusiwa kurusha live. Siyo kila eneo linarushwa live kila mtu anaona. Tusijitoe ufahamu juu ya usalama wa nchi kana kwamba hatuelewi kwamba usalama wa nchi yoyote kitovu chake ni Ikulu
Mbona umeenda mbali sana Kagame wa Rwandwa ?naifafamu ikulu zaida ya jk mwenyewe
Tulishasema huyu sam mahela ni kijana wa hovyo sana lakini hamkuelewa sasa kapiga picha bafuni kwa mkuu, sasa tunajua ofisi ya mkuu wa nchi iko ghorofani! na hakuna lift ya kwenda huko na ngazi ni moja tu, usalama haupo tena. Nilijiuliza ilikuwaje maalim saif alienda na wapiga picha hadi ofisini kwa mkuu? maofisa usalama wa ikulu lazima watizamwe upya.
hii taarifa imekaaje. Naona kama Magufuli tayari anavamia uwanja. Mpira ni dakika 90 sio tano za mwanzo!
Well said mkuu, hata mimi kitendo cha ITV kilinishangaza sana!!!
Tulishasema huyu sam mahela ni kijana wa hovyo sana lakini hamkuelewa sasa kapiga picha bafuni kwa mkuu, sasa tunajua ofisi ya mkuu wa nchi iko ghorofani! na hakuna lift ya kwenda huko na ngazi ni moja tu, usalama haupo tena. Nilijiuliza ilikuwaje maalim saif alienda na wapiga picha hadi ofisini kwa mkuu? maofisa usalama wa ikulu lazima watizamwe upya.
Namashaka na unyeti unaouona leo, kumbuka kipindi alichokuja Bush na Obama, huo unyeti ulikuwepo?