Sizani kama CDM wanalifahamu kwa kuna suala hili maana kiukweli CDM haijawekeza seriously kwa wamama.KATI ya wapiga kura 10 6 ni wamama. Through my simple case study CDM bado haijawa attract wamama wengi kujiunga nayo.Mi nadhani moja ya mikakati ya sasa kuelekea 2015 iwe ni ku-strengthern jumuiya ya wamama lya CDM, MAANA ilivyo sasa ni kama haipo la sivyo ikulu ni ndoto.