The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,693
You could be sick!View attachment 3522964
Hongera Samia kwa kuwezesha Taifa Stars kufuzu mpambano wa ubingwa wa soka Afrika. Bila uwezo wako wa ajabu wa kutenda miujiza, haya yangetokeaje? Nakushukuru sana rais. Hawa Taifa Stars wanapaswa kukupongeza wewe na siyo wewe kuwapongeza. Maana, kila walipokuwaza, nguvu zao za kimwili ziliongezeka. Kila wakiwazia picha yao, misuli yao ilizidi kupata nguvu. Kila wakikumbuka kushindwa, waliogopa kutekwa na kupotezwa. Pia, waliogopa kuvuruga amani. Hakuna kitu kimewawezesha kama kuwa nje wakizungukwa na mabeberu. Kama wazalendo, wakikukumbuka wewe mlezi na mhimili wa taifa anayehurumia viumbe wote hata wadudu kama chawa, wallingiwa na mori wa kushinda. Wakikumbuka matendo yako, huwa kama wamasai wakiogopa kushindwa na kujikuta wasikotaka. Wakimkumbuka Abduli ndiyo usiseme. Ilikuwa ni lazima washinde. HONGERA SAMIA KWA TAIFA STARS KUFUZU.
Si kweli. Ni kweli kama fasihi ima hukusoma au ulisoma ila hukuelewa au umande ulikupa taabu kidogo. Read between the lines mwanangu. Hujui kuwa Samia ni muungu mtu? Ebo! Unaishi dunia gani wewe?Wewe utakuwa zaidi ya Chawa🤣🤣
Vipi na kwanini na tangu lini?unateseka ukiwa wapi?
Alicheza namba ngapi uwanjani na mkaptula wake mkubwa huyo samuya....ulinzi, kiungo au ushambuliaji??.
Bado mnaendelea kuifanya timu kama mtaji wa ccm kisiasa?View attachment 3522964
Hongera Samia kwa kuwezesha Taifa Stars kufuzu mpambano wa ubingwa wa soka Afrika. Bila uwezo wako wa ajabu wa kutenda miujiza, haya yangetokeaje? Nakushukuru sana rais. Hawa Taifa Stars wanapaswa kukupongeza wewe na siyo wewe kuwapongeza. Maana, kila walipokuwaza, nguvu zao za kimwili ziliongezeka. Kila wakiwazia picha yao, misuli yao ilizidi kupata nguvu. Kila wakikumbuka kushindwa, waliogopa kutekwa na kupotezwa. Pia, waliogopa kuvuruga amani. Hakuna kitu kimewawezesha kama kuwa nje wakizungukwa na mabeberu. Kama wazalendo, wakikukumbuka wewe mlezi na mhimili wa taifa anayehurumia viumbe wote hata wadudu kama chawa, wallingiwa na mori wa kushinda. Wakikumbuka matendo yako, huwa kama wamasai wakiogopa kushindwa na kujikuta wasikotaka. Wakimkumbuka Abduli ndiyo usiseme. Ilikuwa ni lazima washinde. HONGERA SAMIA KWA TAIFA STARS KUFUZU.
Alicheza namba zote kama siyo kuwachezesha woteAlicheza namba ngapi uwanjani na mkaptula wake mkubwa huyo samuya....ulinzi, kiungo au ushambuliaji??.
True. It is only for chawa.You could be sick!
Usemacho ni kweli. Uzi huu ni upuuzi kwa wapuuzi na madini kwa wenye akili.Huu uzi wa kihuni umejaa sarcasm kwa Mh Rais. Mleta uzi acha upuuzi.
Mimi ni mtu mwenye akili nyingi ndo maana nimeona huu uzi wa kihuni wa kumdhihaki Rais kipenzi cha watanzania. Acha uhuni ndugu. Usitumie uwepo wa wajinga wengi humu kuandika nyuzi za aina hii.Usemacho ni kweli. Uzi huu ni upuuzi kwa wapuuzi na madini kwa wenye akili.
Ni kweli, una akili nyingi ila za kichawa. Unasema eti ni kipenzi cha wananchi. Senzi we. Ni kipenzi cha machawa mnaolishwa damu zetu. Wananchi gani wakati wengi ameamuru wauwawe na kutupwa baharini? Uhuni sijui kama unaujua. Mhuni inzi na wewe.Mimi ni mtu mwenye akili nyingi ndo maana nimeona huu uzi wa kihuni wa kumdhihaki Rais kipenzi cha watanzania. Acha uhuni ndugu. Usitumie uwepo wa wajinga wengi humu kuandika nyuzi za aina hii.