Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,848
- 58,556
Kama ushapata hongera mkuuBut all in all....graduates wote wakae kwa kutulia sana waende extra mile.. wajiongezee.
Sisi wengine tume hustle kinoma.. na ajira zetu hazina hata mwaka.
Kama ushapata hongera mkuuBut all in all....graduates wote wakae kwa kutulia sana waende extra mile.. wajiongezee.
Sisi wengine tume hustle kinoma.. na ajira zetu hazina hata mwaka.
Naona unawashtuaBut all in all....graduates wote wakae kwa kutulia sana waende extra mile.. wajiongezee.
Sisi wengine tume hustle kinoma.. na ajira zetu hazina hata mwaka.
Braza punguza kuwaandama wasomi wetu [emoji3][emoji3]Kuna hiyo wanaita physical test..
Una chinja ng'ombe peke yako..
After that unakua qualified graduater
Ndo ukweli huo...Braza punguza kuwaandama wasomi wetu [emoji3][emoji3]
Kwani the other side of this post ilikua inatakaje mkuu....😊Iko opposite direction na post but una ujumbe mzuri mwingine
Anatomy ilioko hapo maji utaita mnaKuna hiyo wanaita physical test..
Una chinja ng'ombe peke yako..
After that unakua qualified graduater
Muhim kwako na kwa watu kama wewe. Cha kwanza ukimaliza chuo tafuta kazi sio mshahara. Tafuta sehem utakayojitambulisha wewe ninan then the rest itakuwa history. Ukipewa kaz fanya kwa moyo wako wote na kwa uaminifu wote. Huna muda wa kupoteza zaid sana the more unavyojituma unausaidia mwili na akili yako kuwa responsible kwa maisha yako.1. Bila mshahara wa 1m sikubali kuajiriwa, kila mtu lazima aji value
2. Chuo chetu ni chuo bora, waajiri wakikiona ktk interview wanatuchukua
3. Ajira nitakayokubali iwe Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza. Huko kwingine siendi
4. Kwa hii GPA najua simalizi mwezi mtaani bila kazi
Sasa ndio mitihani ya U. E inaishaisha, sijui tuwaambie ukweli au tuwaache, ukweli ujitambulishe wenyewe?
Acha kamba bwana...maprofessor gani ni maskini wa kutupwa?Hapa GPA Kuingeuza kuwa hela ni zaidi ya hiyo Mitihani ulifanya huko Chuoni. Hutoamini masikio yako Pale utakapogundua na Kusikia bora ungekwenda kusoma Veta kuliko huko ulipokimbilia maana dili za Maana zinaendeshwa kwa akili ya kuzaliwa na si Elimu. Ndiyo maana Maprofesa wengi ni Maskini wa kutupwa .
VETA NI BORA ZAIDI KULIKO HUKO ULIPOKIMBILIA KAMA UNABISHA SUBIRI UONE MAISHA HALISI.
Fika UDSM Wengine bado wanaishi kota kaone wanavyoishiAcha kamba bwana...maprofessor gani ni maskini wa kutupwa?
Mtu alipwe 6m+ kwa mwezi na marupurupu kibao awe maskini wa kutupwa? Biashara gan Tz hii yenye kuleta 6m kwa mwezi hapa tz kama faida kama sio chache sana....
Hebu nitajie hata prof mmoja maskini wa kutupwa
..
Au nikupe case study ya kijiji chenye maprofessor wengi nchi hii wastaafu kanyigo huko bukoba...katazame maisha yao...
1. Bila mshahara wa 1m sikubali kuajiriwa, kila mtu lazima aji value