Bila mshahara wa 1M sikubali hiyo ajira

Smartbeing

JF-Expert Member
Apr 7, 2014
323
422
1. Bila mshahara wa 1m sikubali kuajiriwa, kila mtu lazima aji value
2. Chuo chetu ni chuo bora, waajiri wakikiona ktk interview wanatuchukua
3. Ajira nitakayokubali iwe Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza. Huko kwingine siendi
4. Kwa hii GPA najua simalizi mwezi mtaani bila kazi

Sasa ndio mitihani ya U. E inaishaisha, sijui tuwaambie ukweli au tuwaache, ukweli ujitambulishe wenyewe?
 
Huhitaji waambia chochote...
Akienda interview 2 Tu akakuta watu elfu 20 wanagombea nafasi 8..
Atatia akili
 
Tuwaache wakutane na Kasheshe
 
Kama nimeelewa vibaya unisahihishe. Naamini ulivyoandika 1 hadi 4 ni maneno ya mtu wa kwanza. Na hiyo aya inayofuata ndiyo hasa maneno yako

USHAURI:
Usiwapigie kelele. Waache waje wayaone wenyewe na kushangaa kwa nini huwa tunatembea huku tunaongea peke yetu njiani.
 
1. Bila mshahara wa 1m sikubali kuajiriwa, kila mtu lazima aji value
2. Chuo chetu ni chuo bora, waajiri wakikiona ktk interview wanatuchukua
3. Ajira nitakayokubali iwe Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza. Huko kwingine siendi
4. Kwa hii GPA najua simalizi mwezi mtaani bila kazi

Sasa ndio mitihani ya U. E inaishaisha, sijui tuwaambie ukweli au tuwaache, ukweli ujitambulishe wenyewe?
Kweli bwana 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa GPA Kuingeuza kuwa hela ni zaidi ya hiyo Mitihani ulifanya huko Chuoni. Hutoamini masikio yako Pale utakapogundua na Kusikia bora ungekwenda kusoma Veta kuliko huko ulipokimbilia maana dili za Maana zinaendeshwa kwa akili ya kuzaliwa na si Elimu. Ndiyo maana Maprofesa wengi ni Maskini wa kutupwa .

VETA NI BORA ZAIDI KULIKO HUKO ULIPOKIMBILIA KAMA UNABISHA SUBIRI UONE MAISHA HALISI.
 
1. Bila mshahara wa 1m sikubali kuajiriwa, kila mtu lazima aji value
2. Chuo chetu ni chuo bora, waajiri wakikiona ktk interview wanatuchukua
3. Ajira nitakayokubali iwe Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza. Huko kwingine siendi
4. Kwa hii GPA najua simalizi mwezi mtaani bila kazi

Sasa ndio mitihani ya U. E inaishaisha, sijui tuwaambie ukweli au tuwaache, ukweli ujitambulishe wenyewe?
Wengi miaka hii wanajua kuwa huko mtaani Kuna chuma
 
Huyu jamaa anaitwa Ibra, ni VETA Grade 1.
Mwaka 2021 alipo pewa mkataba wenye mshahara wa 1,800,000 basics salary na 240,000 house allowance na 180,000 night shift allowance pamoja na 4 quoter allowance jamaa alifurahi sana na akasema kwamba haitokaa ajihusishe na thefts and fraud kwasababu hakuwahi kuwaza kama itamtokea maishani mwake akapata mshahara mkubwa kiasi hicho.....😊
Baada ya mwaka mmoja kazini Ibra alibadilika akawa anapiga dili za 30,000....🤣 Ibra akaanza kulalamika kwamba analipwa mshahara mdogo....😂
Basi skuhiyo akawa analalamika kuhusu mshahara na wakatihuo anafanya harakati zake za madili, mie sinikamkumbusha yale maneno yake bana....😜ghafla niligeuka adui wake namba 1
 
Huhitaji waambia chochote...
Akienda interview 2 Tu akakuta watu elfu 20 wanagombea nafasi 8..
Atatia akili
Interview niliwahi kwenda moja, nikakutana na jamaa yangu mmoja wakati naanza kusoma yeye ndio anamaliza, nikasema huyu jamaa mbona A namba na hajapata kazi hapo mm najiona D namba bado mpya kabisa mtaani, walichonifanya wale jamaa nikasema hiyo ela yangu ya DSM to DOM si ningechinja mbuzi tule na masela siku moja, alafu hiyo siku kila mtu aikumbuke as the best moment.

Toka hiyo siku nikisikia interview imetanganzwa huwa naingia dukani kununua maji nipooze rejeta maana wale wajamaa walinichemsha sana akili yangu
 
Hapa GPA Kuingeuza kuwa hela ni zaidi ya hiyo Mitihani ulifanya huko Chuoni.Hutoamini masikio yako Pale utakapogundua na Kusikia bora ungekwenda kusoma Veta kuliko huko ulipokimbilia maana dili za Maana zinaendeshwa kwa akili ya kuzaliwa na si Elimu. Ndiyo maana Maprofesa wengi ni Maskini wa kutupwa .

VETA NI BORA ZAIDI KULIKO HUKO ULIPOKIMBILIA KAMA UNABISHA SUBIRI UONE MAISHA HALISI.
Heshima ya profwesa ni kuvaa makoti na kufuga minywele
 
Back
Top Bottom