Bila mshahara wa 1M sikubali hiyo ajira

Bila mshahara wa 1M sikubali hiyo ajira

1. Bila mshahara wa 1m sikubali kuajiriwa, kila mtu lazima aji value
2. Chuo chetu ni chuo bora, waajiri wakikiona ktk interview wanatuchukua
3. Ajira nitakayokubali iwe Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza. Huko kwingine siendi
4. Kwa hii GPA najua simalizi mwezi mtaani bila kazi

Sasa ndio mitihani ya U. E inaishaisha, sijui tuwaambie ukweli au tuwaache, ukweli ujitambulishe wenyewe?
Labda chuo cha madrasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Bila mshahara wa 1m sikubali kuajiriwa, kila mtu lazima aji value
2. Chuo chetu ni chuo bora, waajiri wakikiona ktk interview wanatuchukua
3. Ajira nitakayokubali iwe Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza. Huko kwingine siendi
4. Kwa hii GPA najua simalizi mwezi mtaani bila kazi

Sasa ndio mitihani ya U. E inaishaisha, sijui tuwaambie ukweli au tuwaache, ukweli ujitambulishe wenyewe?

Yaani unaingia kwenye market ya ajira na masharti kibao. Streets zita ku hit very hard bro
 
Kama nimeelewa vibaya unisahihishe.Naamini ulivyoandika 1 hadi 4 ni maneno ya mtu wa kwanza.Na hiyo aya inayofuata ndiyo hasa maneno yako
USHAURI:
Usiwapigie kelele.Waache waje wayaone wenyewe na kushangaa kwa nini huwa tunatembea huku tunaongea peke yetu njiani.
1-4 ni sentences za wanavyuo. Upo right
 
1. Bila mshahara wa 1m sikubali kuajiriwa, kila mtu lazima aji value
2. Chuo chetu ni chuo bora, waajiri wakikiona ktk interview wanatuchukua
3. Ajira nitakayokubali iwe Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza. Huko kwingine siendi
4. Kwa hii GPA najua simalizi mwezi mtaani bila kazi

Sasa ndio mitihani ya U. E inaishaisha, sijui tuwaambie ukweli au tuwaache, ukweli ujitambulishe wenyewe?
Ulivoanza sasa 🤓🤓🤓🙌🙌🙌
 
Hapa GPA Kuingeuza kuwa hela ni zaidi ya hiyo Mitihani ulifanya huko Chuoni.Hutoamini masikio yako Pale utakapogundua na Kusikia bora ungekwenda kusoma Veta kuliko huko ulipokimbilia maana dili za Maana zinaendeshwa kwa akili ya kuzaliwa na si Elimu. Ndiyo maana Maprofesa wengi ni Maskini wa kutupwa .

VETA NI BORA ZAIDI KULIKO HUKO ULIPOKIMBILIA KAMA UNABISHA SUBIRI UONE MAISHA HALISI.
Kuna kitu umemis kwenye post yangu, soma taratibu
 
Huyu jamaa anaitwa Ibra, ni VETA Grade 1.
Mwaka 2021 alipo pewa mkataba wenye mshahara wa 1,800,000 basics salary na 240,000 house allowance na 180,000 night shift allowance pamoja na 4 quoter allowance jamaa alifurahi sana na akasema kwamba haitokaa ajihusishe na thefts and fraud kwasababu hakuwahi kuwaza kama itamtokea maishani mwake akapata mshahara mkubwa kiasi hicho.....[emoji4]
Baada ya mwaka mmoja kazini Ibra alibadilika akawa anapiga dili za 30,000....[emoji1787] Ibra akaanza kulalamika kwamba analipwa mshahara mdogo....[emoji23]
Basi skuhiyo akawa analalamika kuhusu mshahara na wakatihuo anafanya harakati zake za madili, mie sinikamkumbusha yale maneno yake bana....[emoji12]ghafla niligeuka adui wake namba 1
Iko opposite direction na post but una ujumbe mzuri mwingine
 
Back
Top Bottom