Mnyonge Namba1
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 402
- 81
Na Nyie wekeni zenu za Misitu ya Mabwepande
Halafu hiyo Library ya Mabwepande itakuwa game reserv muda si mrefu.
Na Nyie wekeni zenu za Misitu ya Mabwepande
Acha kukalili,bila kikwete ccm na wabunge wake wasingetoboa 2005 na bila kuchakachua hata JK asingepenya 2010.
Mbowe anajua kuzalisha makamanda kila siku, nendeni majimboni mtaona majembe mengine. wanaolopoka ni akina mwigulu,lusinde,wasira,na wakati huo makamba na nduguye mwanapropaganda
..naunga mkono hoja, ila bado anasafari ndefu na sote tuelewe kuwa bado demokrasia ndio itapaswa kuchukua nafasi ktk maamuzi yote ya chama chochote.
Natahadharisha Asije akabebwa mtu kwakuwa kakitumikia sana chama au akaonewa kwakuwa sio mwanachama wa siku nyingi.
Waachwe wanachama waamue hiyo ndio demokrasia ya kweli.
..
Nanusanusa harufu ya udi wa uchonganishi hapa..!!