Bila maandamano nchi nzima mafisadi yatalimaliza hili Taifa

Maandamano yenu hayana tija yeyote zaidi zaidi ya kuwa chanzo cha fujo na kila aina ya disorders. Suala la Escrow, hata ripoti bado haijasomwa bungeni tayari mmeshaanza kulaumu. Tulieni,tafakarini, ripoti ikitoka isomeni muielewe kisha kama kuna watu wametajwa kwenye huo ubadhirifu wachukuliwe hatua za kisheria.
Y
Safari hii hatatumia mahakama mbuzi kuwashitaki wahalifu wetu, nguvu ya umma pekee yatosha kufanya hivyo, hatuhitaji kibali cha wadhalimu ili kupinga udhalimu bali tunahitaji dhamira safi kupinga udhalimu huu.
 
Uzuri hizi porojo zenu huwa zinaishia humu humu JF.
 
Naunga mkono hoja, tuingie mtaani tuwaondoe, ndo waliofanya dawa zikoskane hospitalini, ndo wamefanya wewe mwanafunzi wa elimu ya juu ukose mkopo, ndo wanao ua akina mama wajawazito na watoto kwa kukwapua hela ambazo zingeelekezwa kwny huduma za msingi, ndo wanao dhurumu watumishi wa umma kwa kuwalipa mishahara kiduchu na kuwakata kodi kubwa kubwa ,ndo walio sababisha bei za mafuta, umeme, sukari na bidhaa zingine kupanda ndo walio shusha thamani ya sarafu yetu, ndo wanaweka mifumo ya ununuzi wa mazao yetu kuwa na bei ndogo! Hima hima jmani tuingie mitaani tuwafurusheeee!, dharau waliotuonesha inatosha tutoke tujipiganiee.
 
waulize wenzenu uarabuni walikua na akili za chooni kufikiria kama wewe matokeo yake wakaondolewa kwa kutumia facebook ambayo acc inajulikana ndo ishindikane jf.
 
Naunga mkono hoja, tuingie mtaani tuwaondoe, ndo waliofanya dawa zikoskane hospitalini, ndo wamefanya wewe mwanafunzi wa elimu ya juu ukose mkopo, ndo wanao ua akina mama wajawazito na watoto kwa kukwapua hela ambazo zingeelekezwa kwny huduma za msingi, ndo wanao dhurumu watumishi wa umma kwa kuwalipa mishahara kiduchu na kuwakata kodi kubwa kubwa ,ndo walio sababisha bei za mafuta, umeme, sukari na bidhaa zingine kupanda ndo walio shusha thamani ya sarafu yetu, ndo wanaweka mifumo ya ununuzi wa mazao yetu kuwa na bei ndogo! Hima hima jmani tuingie mitaani tuwafurusheeee!, dharau waliotuonesha inatosha tutoke tujipiganiee.

Tena umenigusa mkuu hapo kwa Elimu ya juu kukosa mikopo. Binafsi Mimi ni mhanga wa hili mwaka huu. Nilikuwa nimechaguliwa kujiunga na Bsc. in Mechanical engineering chuo cha MUST.lakini nimekosa mkopo kwa kigezo ya kuwa Nina diploma so naweza jisomesha. Nipo kitaa kwa kweli inauma Sana.
 
Back
Top Bottom