Bila maandamano nchi nzima mafisadi yatalimaliza hili Taifa

Bila maandamano nchi nzima mafisadi yatalimaliza hili Taifa

MJITA HALISI 176

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
537
Reaction score
146
Mods acheni huu Uzi utambe.

Sasa wananchi tuseme yatosha.
 
Attachments

  • 1417002521763.jpg
    1417002521763.jpg
    45 KB · Views: 228
Du yaani watu wanamihsira hadi naogopa sijui kama huu mwaka utaisha salama.
 
Ninaomba taarifa PAC iwekwe hapa mtandaoni haraka. Tufanya mawasiliano kazi ianze mara moja. Suala la mikusanyikok ya maandamano katika hali hii litasumbua. Ipo namna safi tu na ambayo inafanyika nchi nzima bia kuathiri shughuli zingine, tena ndani ya muda mfupi sana.

Wekeni report ili tuwatamubue wizi wetu wote.

Tutajua la kufanya.

Lakini pia wote wanaowasaidia, including Makinda kwa kutuhadaa na kuahirisha bunge akisubiria zuio la mahakama ili atimize mission iliyopangwa week end ya Ndungai kwenda ufaransa na yeye kuja kuhakikisha report haijadiliiwi bungeni.

Tunawafahamu wote hata kina Mnyele na wezie waliokwenda kufungua shauri mahakamani, watalipa gharama.

Leteni report hapa mara moja.
 
Yaani leo nisipopigwa BAN sijui,hasira niliyonayo nashindwa kuvumilia watu kama akina msalani,Laki si pesa nk.
Tuandamane kuondoa huu utawala wa kikoloni.
 
Wabunge wa ccm imani na wale wa ukawa warudi majimboni waseme tuanze shughuli ccm masilahi kwanza kama hawajakimbia ama kujichimbia chini wenyewe !!!
 
Tupange maandamano ya nchi nzima.

Maandamano yenu hayana tija yeyote zaidi zaidi ya kuwa chanzo cha fujo na kila aina ya disorders. Suala la Escrow, hata ripoti bado haijasomwa bungeni tayari mmeshaanza kulaumu. Tulieni,tafakarini, ripoti ikitoka isomeni muielewe kisha kama kuna watu wametajwa kwenye huo ubadhirifu wachukuliwe hatua za kisheria.
 
Mi nashauri tuanze kudhibiti vituo vya polisi ikifuatiwa na viberiti kwenye ofisi zote za ccm.
Watu twende polisi kama tunapeleka watuhumiwa ili askari wasipate mwanya wa kuchukua silaha.
Then viberiti vitembee kwenye viongozi wote wa CCM. Tumechoka
 
Tunakutana wapi sasa ili tuanze hilo zoezi?
 
Yaani leo nisipopigwa BAN sijui,hasira niliyonayo nashindwa kuvumilia watu kama akina msalani,Laki si pesa nk.
Tuandamane kuondoa huu utawala wa kikoloni.

Kweli kamanda, huu ukoo wa panya CCM unatia sana hasira.
 
Back
Top Bottom