Bila kujiongeza maisha haya huwezi kumove on katika maisha kama kijana

Wewe bado hujayajua maisha umesimuliwa tu na wauza kahawa vijiweni.
Hivi laki na sabini na tano ndio pesa ya kuishi kwako ujitegemee kweli?kitanda wapi?godoro wapi?haya kwa mfano umelipia kodi ya chumba ya miezi 6 hujasema kwamba hiyo kodi ikiisha utarenew vipi mkataba wa chumba?kumbuka umesema mwanzoni mtu adundulize hela polepole aweke elfu 2. 2 hadi itimie 175000,lakini mwenye nyumba hawezi kukusubiria wewe uanze kuunga unga elfu 2 2 yeye anahitaji kodi yake muda huo huo ikiisha.
Na kumbuka kama huna kazi hata hiyo 2 huwezi kuipata kirahisi tu.
Kuna jamaa angu hapo tegeta kaajiriwa na kiofisi kimoja hivi analipwa laki 2 na arobaini. Ana maneno kisenge.. Yani kana kwamba Dunia yote yakeee kisa kaajiriwa na fom foo yake. Nimekaa geto lake kipindi kasafiri kumbe hadi ndoo ya maji ya kunywa kapewa na jirani. Nilishangaa nasimamishwa nadaiwa ndoo.
Wazee maisha haya, tuwe na exposure. Na vijana tufaham njia ya kufanikiwa kwake haiwez kuwa rahisi.
Afrika ni afrika tu. Kenge wengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom