Mbona points zako zinakinzana na za juu mkuu au sijaelewa... Utajitegenea vipi huku huna kazi? Au utafanya vipi biashara bila mtaji?
Umesema usitegemee ndugu wala marafiki ni vema ukatujulisha ni vipi utapata mtaji au hyo kazi
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Umeongea vema sana mkuu aliye na masikio amesikia big up komredMoja Kati ya vitu nilivyovigundua katika maisha haya ni kwamba
1.ukisubili upate kazi ndiyo uweze kuanza maisha utachelewa sana .
2.ukisubili upewe mtaji na wazazi au ndugu zako wa karibu ufanye biashara utachelewa sana
3.ukisubili marafiki zako wa karibu wakusaidie kupata kazi au kukupa fursa utachelewa sana .
4.ukisubili wazazi au ndugu waliofanikiwa ndio waamue hatma ya maisha yako utachelewa sana
Katika haya maisha nilichogundua bila kujiongeza kijana mwenzangu hakuna mtu atayetokea kuja kukusaidia kutatua changamoto zako zinazokukabili bila wewe kujiongeza ninaposema kujiongeza hapa nina angalia maeneo Makuu matatu eneo la kwanza kujitegemea
eneo la pili plan ipi utatumia kuendesha maisha yako ya kila siku
eneo la tatu kutengeneza familia yako ya
Nikianza na eneo la kwanza kujitegemea kijana unapoanza kufikiria kujitegemea ndipo akiri inapoanza kukuaa ufahamu wapi pakuanzia
Eneo la pili ni plan ipi utatumia kuendesha maisha yako ya kila siku hapa nina maana kama kijana unatakiwa utafute plan ya kuendesha maisha yako kama unaona issue za kazi hazija kaa poa basi karibu biashara au kazi nyingine
Eneo la tatu ni mahusiano familia yako ya badae hapa ninazungumza especially vijana wa kiume kama upo nyumbani ni ngumu kupata mwanamke ambae atakuwa tayali kufanya maisha na wewe kama upo nyumbani bado
Kama una lolote la kuongezea ruksaa
The future is not something we enter into, it's something we create. There is no tablet which will give you prosperity and there is no medicine will take you to a better future, the future is something that you create by yourself.Mbona points zako zinakinzana na za juu mkuu au sijaelewa... Utajitegenea vipi huku huna kazi? Au utafanya vipi biashara bila mtaji?
Umesema usitegemee ndugu wala marafiki ni vema ukatujulisha ni vipi utapata mtaji au hyo kazi
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
There is no Gold, water or Prophet will make you step into your future, but yourself have to create the future you desire with your own hands.Mimi nafikiri unatakiwa uamue wewe mru mwenyewe kama unataka utafute kazi au kama ufanye biashara yote yanawezekana ila watu wengi wanapenda sana kushikwa mkono...
You nile'it mkuu....Sijawahi kuwa na hata milioni ya mkupuo kwenye akaunti, lakini nilipoamua tu nianze kujenga nyumba... mwaka wa tatu huu nyumba naelekea kuhamia.
Ningesema niendelee kusubiri nipate pesa, ningeendelea kuota tu usingizini.
Cha ajabu ni kwamba najenga na maisha mengine yanaendelea vile vile, ni nguvu ya maamuzi tu.
Umeprove point ile ile anayoongea. Huo unaongea ni utegemezi uliopitiliza. Maisha ni kama kutupwa katikati ya msitu mnene ukiwa na kisu tu na umevaa pensi ya jeans huku miguuni upo pekupeku..... Na msitu unawamyama wakali wa kila aina na wenye sumu.....Mbona points zako zinakinzana na za juu mkuu au sijaelewa... Utajitegenea vipi huku huna kazi? Au utafanya vipi biashara bila mtaji?
Umesema usitegemee ndugu wala marafiki ni vema ukatujulisha ni vipi utapata mtaji au hyo kazi
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Mimi nafikiri unatakiwa uamue wewe mru mwenyewe kama unataka utafute kazi au kama ufanye biashara yote yanawezekana ila watu wengi wanapenda sana kushikwa mkono.....
.....Kila mtu alikuwa bize na mambo yake pale ndipo nilipojifunza katika haya maisha usimtegemee binadamu
Mkuu nielekeze uliwezaje na unaishi mkoa gani. Kama ni Dar es Salaam nakupa hongera sanaSijawahi kuwa na hata milioni ya mkupuo kwenye akaunti, lakini nilipoamua tu nianze kujenga nyumba... mwaka wa tatu huu nyumba naelekea kuhamia.
Ningesema niendelee kusubiri nipate pesa, ningeendelea kuota tu usingizini.
Cha ajabu ni kwamba najenga na maisha mengine yanaendelea vile vile, ni nguvu ya maamuzi tu.