Bila kujiongeza maisha haya huwezi kumove on katika maisha kama kijana

Umeprove point ile ile anayoongea. Huo unaongea ni utegemezi uliopitiliza. Maisha ni kama kutupwa katikati ya msitu mnene ukiwa na kisu tu na umevaa pensi ya jeans huku miguuni upo pekupeku..... Na msitu unawamyama wakali wa kila aina na wenye sumu.....

Utakaa uanze kulia au utaanza piga hatua taratibu ukitafuta kutoka msituni kwenda barabarani kupata salama yako.

Kuanza kujitegemea sio hadi uwe na ajira kwanza. Sometimes ajira inakukuta miaka miwili au mitatu baada ya kuanza jitegemea.
Jamii forum kila mtu hero

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Well swali zuli sana hiloo naomba nikueleze kitu

1.ikoo hivi kama huna ajira ni jinsi Gani unaweza kujitegemea na utafanya biashara kwa mtaji upi

Sasa hapo inabidi uwe na akiri ya kujiongeza ni mbinu Gani unaweza kuitumia kutafuta hela ndogo ndogo at least kila siku una save elfu 500 ndani ya miezi Sita una ndani ya mwaka una laki moja na elfu 75 hapo una hela ya chumba elfu 2 na hela ya kuanzisha biashara ya mtaji wa elfu 50
Wewe bado hujayajua maisha umesimuliwa tu na wauza kahawa vijiweni.
Hivi laki na sabini na tano ndio pesa ya kuishi kwako ujitegemee kweli?kitanda wapi?godoro wapi?haya kwa mfano umelipia kodi ya chumba ya miezi 6 hujasema kwamba hiyo kodi ikiisha utarenew vipi mkataba wa chumba?kumbuka umesema mwanzoni mtu adundulize hela polepole aweke elfu 2. 2 hadi itimie 175000,lakini mwenye nyumba hawezi kukusubiria wewe uanze kuunga unga elfu 2 2 yeye anahitaji kodi yake muda huo huo ikiisha.
Na kumbuka kama huna kazi hata hiyo 2 huwezi kuipata kirahisi tu.
 
Mkuu nielekeze uliwezaje na unaishi mkoa gani. Kama ni Dar es Salaam nakupa hongera sana

Mkuu hakuna cha niliwezaje, inaweza isiwe sahihi kwako.

Nipo Dar es Salaam kwa mishe, ila nilianza kwa kujiuliza na kuamua ikiwa nitaishi Dar au mkoani?

Nikapata jibu kuwa nitaishi mkoani, hivyo Dar nipo kwa muda tu nikipambana kuzichanga.... basi chap nikanunua kiwanja mkoani bei rahisi ndo nikaanza hivyo.

Tatizo kijana upo Dar, wala hujui kama umekuja kutafuta au umekuja kuishi... ukishaamua hilo ni hatua muhimu ya kuanza nayo.

Cheers
 
Umeona mkuu,badae hao hao wanakuja kuandika nyuzi za kuomba msaada.
Mambo wanayosema yanawezekana ila sio rahisi kiivo kama wanavojaribu kurahisisha...

Let say umetoka sehemu moja kwenda ingine ambayo humjui mtu na umefika pale huna kitu chochote mfukoni itabd utafute kibarua au chochote cha kuanzia mapambano yako ikitokea ukakutana na fulani akakusaidia kupata kibarua shambani hyo pia ni support ambayo sio kila mtu anaweza pata kuna wanaotapeliwa au kukutana mambo mabaya sasa ka umetoboa usinifanye jeshi la mtu mmoja kama Rambo sema ukweli along the way what happened

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi niliwaza hivyo.
Maana hata kama ukitaka kuwa kibarua wa saidia fundi lazima huyo fundi awe ni jamaa yako wa karibu ndio atakupa nafasi.
Huwezi kukurupuka tu eti umetoka Dodoma umeenda mtwara halafu ndio uanze kuwaza cha kufanya utakufa njaa.
Ingekuwa maisha ni rahisi hivi kusingekuwa na mtu mwenye maisha mabovu duniani.
Mambo wanayosema yanawezekana ila sio rahisi kiivo kama wanavojaribu kurahisisha...

Let say umetoka sehemu moja kwenda ingine ambayo humjui mtu na umefika pale huna kitu chochote mfukoni itabd utafute kibarua au chochote cha kuanzia mapambano yako ikitokea ukakutana na fulani akakusaidia kupata kibarua shambani hyo pia ni support ambayo sio kila mtu anaweza pata kuna wanaotapeliwa au kukutana mambo mabaya sasa ka umetoboa usinifanye jeshi la mtu mmoja kama Rambo sema ukweli along the way what happened

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hakuna cha niliwezaje, inaweza isiwe sahihi kwako.

Nipo Dar es Salaam kwa mishe, ila nilianza kwa kujiuliza na kuamua ikiwa nitaishi Dar au mkoani?

Nikapata jibu kuwa nitaishi mkoani, hivyo Dar nipo kwa muda tu nikipambana kuzichanga.... basi chap nikanunua kiwanja mkoani bei rahisi ndo nikaanza hivyo.

Tatizo kijana upo Dar, wala hujui kama umekuja kutafuta au umekuja kuishi... ukishaamua hilo ni hatua muhimu ya kuanza nayo.

Cheers
Nilidhani umefanya hivyo hapa Dar kwa kudunduliza hivyo! Rudisha hongera yangu kijana!!
Mimi nimejenga hapahapa Dar es Salaam japo sio kwa style kama yako ndo maana nikakuuliza.
Turudi kwenye mada mkuu
 
Nilidhani umefanya hivyo hapa Dar kwa kudunduliza hivyo! Rudisha hongera yangu kijana!!
Mimi nimejenga hapahapa Dar es Salaam japo sio kwa style kama yako ndo maana nikakuuliza.
Turudi kwenye mada mkuu

Kuweka yako juu sio kushusha yangu chini mkuu, unaweza kuwa umejenga hapa unapoita mjini kumbe ni Vikindu huko sijui Kerege sijui Kinzudi au Kimbiji... ilimradi tu upo Dathramu kumbe ni hovyo tu ndani ndani huko.

Either way, nakupongeza tu na lazima style za maisha zitofautiane.... hongera yako nimeirudisha kwa kukupongeza mwenyewe kwa maana wala sikuihitaji.

Pesa kidogo tu unakuja JF kujitamba umejenga mkoani!
Karibu Segerea mkuu

Cheers boy!
 
Leo umekunywa nini?

Balimi haina hii tabia
Nakunywa hii ya kupuliza...
images-1.jpg
 
Ukweli ambao wengi hawausemi au hawaambiwi ni kwamba wakati unapoanza kujitegemea mwenyewe ndipo maisha huanza hapo, Hapo ndio utaviona visa vingi vya watu uliokua unawategemea wakusaidie kwa mawazo fedha na elimu nk, Ukiona hayo jua sasa unaelekea mahali sahihi kwa maana adui anajua akikuacha tu uende bila vikwazo utamwaibisha kwa sababu chochote unachowaza kukifanya unaweza kukamilisha, Ili sasa usikamilishe anatokea adui wa kukuletea vikwazo,Hofu,kushindwa,Uoga umekua ndio adui namba moja wa binaadam tangu kuumbwa kwa ulimwengu, na adui hana mpango wa kubadili mpango wake juu ya binaadam siku za karibuni, Hivyo ni kupambana mwanzo mwisho.
Time will tell
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom