Kwa kutumia hadhi yetu ya GREAT THINKERS na bila kujali vyama vyetu ama upendo wako kwa mbunge fulani, tushiriki kwa pamoja kuwataja wabunge bora zaidi waliofanya vizuri sana ktk majimbo yao na wametumia nafasi zao kufanya mazuri zaidi kitaifa, asanteni, TAIFA KWANZA VYAMA BAADAYE, cc Faizfoxy, Mwanadiwani, Ben Saanane, Pascal, Heaven on Earth, Ritz, Crashwise, Ngo007, na wenine wote
Mimi nitamtaja kwa ustadi wake wa kujenga hoja na kutetea maslahi ta watz, sijui jimboni kwake amepaendelezaje....Alphaxad Kangi Lugola yuko vizuri sana