Bila Kujali Itikadi ya Vyama nani Zaidi ?

WanaJF,

Sote tunajua 2015 kutakuwa na Uchaguzi mkuu, kwa haraka haraka nimegundua kuna majina 2 ya watu wenye nguvu na wanaotajwa sana kuliko wengine kwa nafasi ya Urais endapo watapendekezwa na vyama vyao

1. Wakwanza ni Dr. W. SLAA
2. Wapili ni ni E. Lowassa

Wengine wengi wapo wapo lakini hao wa wili wanatajwa mno kuliko wengine, mimi sijui kwa maeneo mengine ya pande za nchi hii lakini mahali pengi nilipofanikiwa kupita hali iko hivyo na kama kweli ikatokea wakapitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo ya Urais

Basi uwezekano ni mkubwa aliye wa kwanza katika orodha hiyo akaibuka mshindi

Nawasilisha


Mkuu naona unataka Dr. SLAA aingie ikulu bila kufanya kampeni.
 
Back
Top Bottom