Bikra yake imechukuliwa na doctor

jmn hii kitu huwa inatoka yenyewe sio mpk mtu akuvirginate and wewe bwana mkubwa hiyo kitu huyo she hawinayo milele so kama umemuanza unategemea kumuacha coz kwasababu hujamkuta nayo?ushasema aliumwa sana na labda ashawahi kusumbuliwa na magonjwa ya sirin dawa zake huwa ni za kutumbukiza so inawezekana hakuwahi kweli
 
Demu alikua hana bikra na huko kuumwa ni kua dokta alimtoa mimba vibaya...sijuhi unangoja nini yani we haupo hata kwenye backup plan ni just incase kashaharibu huko anakupumzikia wewe. Kimbia sana...
 
uuuuwi ndgu zangu kama ndo hivyo nimeshirik kuua kwan tulikuwa wote lkn mbona doctor hakuniambia? Je angekufa?
mmh! Sasa ni mwezi mmoja hataki tuonane mara sijisikii vizuri oooh, nipo bize hata simuelewi!
 
Nilimweleza bado siamin' akadai 'yupo tayari kufa ila sio kunikosa kwani hawez kuishi bila mimi nliyemfundisha mapenzi!

Unazidi tu kudanganywa na wewe unaamini...siku atakapobeba mimba ya jirani yako ndio utatia akili.....halafu kumbe majibu unayo humu unatafuta nini sasa!
 
Naombeni great thinkerz wenzangu tusaidiane jamani, miaka 7 iliyopita nlkutana na bint m1 (tulikuwa sekondar) nlimtongoza! Alinizungusha sana hatimaye alkubali na kuniambia yeye ni bikra hivyo nimvumilie mpaka tuhitim chuo, nlimpenda sana kwan alkuwa mpenda dini,tabia nzuri na kiukwel sikuwah kumpa hata sh,1 zaidi yeye ndo alnisaidia kwan kwao mambo safi.

Tumeitimu chuo mwaka huu ghafla alianza kuumwa sana tumbo akawa hapat cku zake, alikonda sana niliingiwa na hofu kubwa lkn nilienda nae hosp nakupata huduma baadae alipona kabisa nami nikaona nikumbushie ile ishu(ahadi) alisumbua sana baadaye alinipa mzigo lkn nimekuta hana bikira nlipomuuliza alinijib labda doctor ndo alitoa eti aliingiziwa vitu sirini, jaman nimevumilia miaka saba sijapata nilichotaka je kuna umuhim wa kuwa naye?

kwani mwanamke ni kuwa ni bikra? nenda zanzibari utawakuta wengi wenye bikra lakini msalani ulishaharibiwa siku nyingi.
endelea naye kama kweli unampenda.
 
uuuuwi ndgu zangu kama ndo hivyo nimeshirik kuua kwan tulikuwa wote lkn mbona doctor hakuniambia? Je angekufa?
mmh! Sasa ni mwezi mmoja hataki tuonane mara sijisikii vizuri oooh, nipo bize hata simuelewi!

Acha uzembe umempeleka hadi hospital alafu hujui anaumwa nini.Unajua kuwa huyu msichana ameshafanikiwa kukubadili hata jina badala GREAT THINKER umeshakuwa GREAT JINGA.samahan kama ntakuwa nimekukosea lakin i like utani ila fanana na GREAT Thinker wa ukweli bhaana.
 
shivo doctor alidai matatizo ya wanawake tu so sikuwa interested kuchunguza sana kwan nlkuwa nnamwamin saana!
 
Unazidi tu kudanganywa na wewe unaamini...siku atakapobeba mimba ya jirani yako ndio utatia akili.....halafu kumbe majibu unayo humu unatafuta nini sasa!
madam usinilaumu jaman mi nampenda sana yaani sijui nifanyeje! Naomba ushauri.
 
Hachana na \mambo ya bikira,cha muhimu pima kama hana ngoma na wewe hauna endeleeni na maisha kama kweli mnapendana.Bikra kitu gani bwana. Kumbuka wibo wa chungwa na chenza wa Sumalii.
 
Naombeni great thinkerz wenzangu tusaidiane jamani, miaka 7 iliyopita nlkutana na bint m1 (tulikuwa sekondar) nlimtongoza! Alinizungusha sana hatimaye alkubali na kuniambia yeye ni bikra hivyo nimvumilie mpaka tuhitim chuo, nlimpenda sana kwan alkuwa mpenda dini,tabia nzuri na kiukwel sikuwah kumpa hata sh,1 zaidi yeye ndo alnisaidia kwan kwao mambo safi.

Tumeitimu chuo mwaka huu ghafla alianza kuumwa sana tumbo akawa hapat cku zake, alikonda sana niliingiwa na hofu kubwa lkn nilienda nae hosp nakupata huduma baadae alipona kabisa nami nikaona nikumbushie ile ishu(ahadi) alisumbua sana baadaye alinipa mzigo lkn nimekuta hana bikira nlipomuuliza alinijib labda doctor ndo alitoa eti aliingiziwa vitu sirini, jaman nimevumilia miaka saba sijapata nilichotaka je kuna umuhim wa kuwa naye?
inawezekana kweli mana wanapenda kweli kuuingiza vitu huko loh! cjui ndio wanapima nn mana hata mikono yao wanaipendaga kweli kuingiza huko kupim aloh!
 
ndo ivo tena wamenivunjia! Lkn huo si udhalilishaji wa kijinsia?
 
Atakuwa alikucheat, na si ajabu alishatoa mimba, kama unampenda endelea naye, kuhusu bikra, wenzio walishakuwahi, ukitaka muambie aweke bikra ya kichina ili na wewe uionje kidogo bikra hata kama ni artificial, ili mradi moyo wako utulie na kuwa na furaha baada ya kufanywa ***** kwa hiyo miaka 7, but hiyo bikra sio ishu hasa, kama unampenda kwa dhati, samehe na utulie naye.
 
bikra kitu gan kama mnaelewana vizuri mtoto mtulivu hana skendo hata akigongwa mara moja moja sio mbaya...cha msingi she loves you.sio mapepe anajitambua thats thats good mmeweza kukaa miaka saba thats good also...wengine miezi mitatu tu ni issue
 
Achana na mambo ya ubikiara yatakuumiza kichwa tu mkuu! Shukuru mchuchu aanakupenda na ana cfa zote za kuwa mke wako! Si unajua ukichagua sana hukawii kutoka kappa....!
 
Mliweza ku-cope kwa 7 yrs inamaanisha anasifa unazozitaka kwa wife na wewe kwake ni husband wa ukweli, mtakuwa me-invest alot especially in terms of time. Bikra kitu gani? Afterall inaweza kutoka Yenyewe, haiko guaranteed! Be a great thinker think positively jengeni future yenu.
 
Naombeni great thinkerz wenzangu tusaidiane jamani, miaka 7 iliyopita nlkutana na bint m1 (tulikuwa sekondar) nlimtongoza! Alinizungusha sana hatimaye alkubali na kuniambia yeye ni bikra hivyo nimvumilie mpaka tuhitim chuo, nlimpenda sana kwan alkuwa mpenda dini,tabia nzuri na kiukwel sikuwah kumpa hata sh,1 zaidi yeye ndo alnisaidia kwan kwao mambo safi.

Tumeitimu chuo mwaka huu ghafla alianza kuumwa sana tumbo akawa hapat cku zake, alikonda sana niliingiwa na hofu kubwa lkn nilienda nae hosp nakupata huduma baadae alipona kabisa nami nikaona nikumbushie ile ishu(ahadi) alisumbua sana baadaye alinipa mzigo lkn nimekuta hana bikira nlipomuuliza alinijib labda doctor ndo alitoa eti aliingiziwa vitu sirini, jaman nimevumilia miaka saba sijapata nilichotaka je kuna umuhim wa kuwa naye?

Dah, kwanza una bahati sana kwamba alikupa!!! naogopa sana unamu-approach mtoto halafu anakukubalia lakini hataki kukupa mambo kwa madai yeye ni bikra! Uzoefu unaonesha gal akikuambia ana bikira basi kuna hatari asikupe kabisa unless awe bikira kweli! Lakini anadai bado yeye bikira wakati hiyo kitu hana; jombaa, utaendelea kusotea ngoma mpaka utie adabu yako kv anaogopa akikupa utagundua kwamba kumbe ngoma magumashi.....used kitambo!!!!

ANGALIZO!!!
Demu akikuambia ana bikira, mwambie "kwenda huko, bikira uipatie wapi wewe; unafikiri bikira mchezo!" Kwahiyo, hata kama hana hiyo kitu, atakupa tu kv anafahamu tangu zamani ulijua kwamba hiyo kitu adimu yeye hana na anajua kwamba unajua alikuwa anakufanyia masihara! Likewise, hata kama anayo, bado chance ya kukupa itakuwa kubwa tu kv atataka kukukata kilimilimi na ubishi wako huku akiwa amesahau methali ya kiswahili "hasira za mkizi........!"
 
unamtaka mwanamke bikra kwani we unayo...? Ulishachakachuliwa nae amechakachuliwa.....miaka 7 then unataka kummwaga? Hapa ndipo naanzaga kuwachukia wanaume!

Aisee bahati mbaya wameondoa kidude cha senks! Umemaliza kila kitu!
 
Back
Top Bottom