bikra ya barmaid

bikra ya barmaid

kinyoba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
1,267
Reaction score
720
Inawezekana kweli wakuu? Nipo na Jamaa yangu kwenye country code +254! kahudumiwa na barmaid mrembo Jamaa akampenda akaomba mchezo! Barmaid akamuambia Jamaa yeye bikra! Dah! Jamaa kapiga mashine anadai kabikiri kweli! Inawezekana kweli hii? Maana jamaa sasa hivi anasema condom za nini wakati amebikiri?
 
kekundu kekundu, hizi bikira zimeshawazingua sana hivi mbona bikira ni kitu cha kawaida sana.
 
Inawezekana kweli wakuu? Nipo na Jamaa yangu kwenye country code +254! kahudumiwa na barmaid mrembo Jamaa akampenda akaomba mchezo! Barmaid akamuambia Jamaa yeye bikra! Dah! Jamaa kapiga mashine anadai kabikiri kweli! Inawezekana kweli hii? Maana jamaa sasa hivi anasema condom za nini wakati amebikiri?

Hiyo bikra aliipimaje?
Na ametofautishaje kati ya bikra ya Kichina na ile ya asili?
 
Asijali, huyo barmaid ni bikra kweli, si unajua zipo hata za kina jet lee..!!!??
 
Inawezekana kweli wakuu? Nipo na Jamaa yangu kwenye country code +254! kahudumiwa na barmaid mrembo Jamaa akampenda akaomba mchezo! Barmaid akamuambia Jamaa yeye bikra! Dah! Jamaa kapiga mashine anadai kabikiri kweli! Inawezekana kweli hii? Maana jamaa sasa hivi anasema condom za nini wakati amebikiri?

jamani bikira zipo madukani mbona,mi hata sioni cha ajabu coz hata mm nikitaka kua bikra naenda kununua fater!khaaaaa,bikra,bikra,bikraaaa,hata wengine walizaliwa nazo zikatolewa!
 
Poa tu, kwani baamed sio demu? Sasa kwanini asiwe na utando?
 
kwani kigezo cha kuwa bar maid ni lazima usiwe na iyo bikra??
 
Mbona mademu humu zikiongelewa bikra inawatachi sana? au zenu zilitolewa mkiwa darasa la pili B?
 
Bikira=Birika siku hz vyote viwili vimeadimika sana siku.
 
kwani kigezo cha kuwa bar maid ni lazima usiwe na iyo bikra??
Hicho ndio kipimo chake, huyo mdada kaanza kazi hapo muda mrefu na kakutana na wateja kibao waliomtaka na wote kawaambia yeye ni bikra vilevile baada ya huyu jamaa mwingine akiingia hapo ataambiwa hivohivo!
 
Back
Top Bottom