bikra ya barmaid

bikra ya barmaid

Muulize kapiga wapi?usikute katumia 0712
 
Inawezekana kabisa..kule country code 254 bikra si adimu sana!
 
Mimi naomba kuelimishwa tu bikira ni nini? na inaongeza nini kwenye ngono? maana hizi hadithi za bikira nimeanza kuzisikia muda mrefu na mpaka mwingine akathubutu kuniambia eti Mwanamke ukimtowa bikira hakuachi milele!!

Makubwa haya, labda si Wanawake hawa ninaowajuwa mimi, sasa hivi ni Wallet ndio naweza kuthubutu kusema kwamba Mwanamke hawezi kukuacha lakini sio huu ujinga wa bikira.

CC: Kongosho lara 1
 
Last edited by a moderator:
Mfano wa uwezekano ni huu,una ndugu yako katoka kijijini na bikira yake kaja kwenu,baada ya kukaa bure kwako siku ukagombana nae ukamsema kwa hasira kaamua kutoroka,kuingia mtaani maisha magumu kaingia baa kaomba kazi kapewa

Hapo dunia itakuwa ina baamedi mmoja bikra,mwenye zali lake ataiotea
 
Yani zama hizi za digitali bado mtu ana ufahamu kwamba unaweza pata HIV kwa sexual intercourse tu! kama amepata maambukizi kwa njia nyinginezo je? let us be aware bana....Ndo yale unasikia mtu anajisifu eti "mi noma,demu nimemega na condom 2, hapo ngoma labda iwe mkono wa mtu" kumbe ndo kajipalia makaa....teh..Teh....Teh...
 
Inawezekana kweli wakuu? Nipo na Jamaa yangu kwenye country code +254! kahudumiwa na barmaid mrembo Jamaa akampenda akaomba mchezo! Barmaid akamuambia Jamaa yeye bikra! Dah! Jamaa kapiga mashine anadai kabikiri kweli! Inawezekana kweli hii? Maana jamaa sasa hivi anasema condom za nini wakati amebikiri?

Ukitaka kujua ujinga wako na wa rafiki yako, nenda pale na wewe baada ya mwezi mmoja ukamtongoze muuza bar huyo huyo uone kama hatakupa same story na wewe ukitoka kujiumiza utaruka juu kama mwenzio anavyoruka sasa kwa furaha
 
Inawezekana kweli wakuu? Nipo na Jamaa yangu kwenye country code +254! kahudumiwa na barmaid mrembo Jamaa akampenda akaomba mchezo! Barmaid akamuambia Jamaa yeye bikra! Dah! Jamaa kapiga mashine anadai kabikiri kweli! Inawezekana kweli hii? Maana jamaa sasa hivi anasema condom za nini wakati amebikiri?

Mwanamke bikra anakubali kirahisi namna hiyo bila kalenda?
 
Inawezekana..labda ndio alikuwa amefika mjini toka kijijini! Kwa lugha nyingine "raw material".
 
Tena bikra ni ubwege wa mapenzi

NAni anapenda kuanza kufundisha a, e i ,o u badala ya kufurahia mchezo?

Na hakuna kwamba aliyeitoa ndio utamkumbuka milele, hakuna kitu kama hicho

Mimi naomba kuelimishwa tu bikira ni nini? na inaongeza nini kwenye ngono? maana hizi hadithi za bikira nimeanza kuzisikia muda mrefu na mpaka mwingine akathubutu kuniambia eti Mwanamke ukimtowa bikira hakuachi milele!!

Makubwa haya, labda si Wanawake hawa ninaowajuwa mimi, sasa hivi ni Wallet ndio naweza kuthubutu kusema kwamba Mwanamke hawezi kukuacha lakini sio huu ujinga wa bikira.

CC: Kongosho lara 1
 
mh inawezekana anayo, sidhani ka kila barmaid anagongwa na pia inawezekana ndo alikua kaanza kazi so........
 
Back
Top Bottom